William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Ninaamini kwamba Zitto ni one of the best politician we have tena kijana, kila siku ninamuombea Mungu amtangulie ili one day aje kwua Rais wa jamhuri hii, kwa sababu anao uwezo na anazo akili nyingi sana, na anao ujasiri, na anaweza kufanya mamuzi magumu.
- Ni mbunge wa Upinzani anayeheshimika sana na pande zote mbili kwa sababu uwezo wake wa kufikiri na kusimamia hoja, again MUNGU AMTANGULIE SIKU MOJA AJE KUA RAIS WA JAMHURI HII!
- Between Zitto, Januari, na Nape hili taifa linatakiwa kuwekeza zaidi kwa hawa vijana, kuliko kupingana nao kila wakti na kutoa mwanya kwa wazee kushika nchi, tizama majuzi wizara zote zilizokuwa na vijana sasa zimeshikwa na wazee!, bado nawakumbuka sana Ngeleja na Maige, good people ingawa ninaamini kwamba only Mahakama sasa iwasafishe!
William.