Tanzania calls for Power Plant bids

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Sunday, April 3, 2011
Tanzania is looking to construct emergency power plants to supply 260 MW and has issued a tender for contractors.

"A tender has already been announced to seek a contractor that will meet the required standards and come up with affordable costs," President Jakaya Kikwete said in a month-end national address televised on April 1. The state-owned Tanzania Electric Supply Co. (Tanesco) will attempt to add the power to the national grid by July.
Most recently, the country's VP Dr. Mohamed Gharib Bilal called on energy experts to help Tanzania meet its domestic energy demand. Please see Experts Challenged by Tanzania's VP.

Let us ee who will get the bid. I bet, ni hao hao walio toa bid.
 
Tanzania kupunguza midahalo ya Tender za uizi na kampuni mchara za umeme Tanesco inunue Generators kutoka kwenye kampuni moja kwa moja. Kampuni zenye Generators GE, Simens, Honey Well, Toshiba n.k zitatoa Generator mpya na kuhakiki chombo chao kwa miaka isiyopungua mitano sasa tender za nini kama sio rushwa hizi!!!. Serikali ikinunua kutoka mfano GE kila mtu atajua bei kutakuwa hakuna cha juu kampuni itakuwa wazi na itauziwa vifaa vipya!!!. GE haitaweza kwenda ku bid Tanzania kwasababu watu wanataka rushwa lakinmi kama pesa ipo watauza Generator. Tanzania tumechoka hizi skendo na serikali inunue moja kwa moja yenyewe.
 
What's procedure and process for bidding in Tanzania? What's legal process to attain business with our government? Whose's in charge with this process?
 
Tanzania, safari hii, macho yetu sote yako kwenye kufuatilia hili kwa kila hatua na nukta hadi mwisho wa maamuzi yote na haki kuonekana kutendeka.
 
Tanzania kupunguza midahalo ya Tender za uizi na kampuni mchara za umeme Tanesco inunue Generators kutoka kwenye kampuni moja kwa moja. Kampuni zenye Generators GE, Simens, Honey Well, Toshiba n.k zitatoa Generator mpya na kuhakiki chombo chao kwa miaka isiyopungua mitano sasa tender za nini kama sio rushwa hizi!!!. Serikali ikinunua kutoka mfano GE kila mtu atajua bei kutakuwa hakuna cha juu kampuni itakuwa wazi na itauziwa vifaa vipya!!!. GE haitaweza kwenda ku bid Tanzania kwasababu watu wanataka rushwa lakinmi kama pesa ipo watauza Generator. Tanzania tumechoka hizi skendo na serikali inunue moja kwa moja yenyewe.

Ukitaka kupata bei nzuri lazima utoe zabuni - Ikiwa utaende kwa GE peke yao watakugonga bei na pia si kweli kuwa hawa hawatoi rushwa
soma hapa GE Fined US$23 Million over Iraq Bribery Charges | Break Bulk
 
Back
Top Bottom