Tanzania bus body builders

tatizo sehem nipoyapeleka hakuna spea za yutong nataka yafanye kaz mozambique coz kule kuna matatizo ya usafiri kwa mfano toka nampula mpaka maputo hakuna mabus ya mojamoja kwa moja ambapo sometmz watu wanaenda wamesimama kwa almost 1800km pili cdhan kama yutong inaweza ikahimili

Ongea na yule msambaa"Mining Nice"akupe ujanja zile scania alitengenezea wapi
 
tatizo sehem nipoyapeleka hakuna spea za yutong nataka yafanye kaz mozambique coz kule kuna matatizo ya usafiri kwa mfano toka nampula mpaka maputo hakuna mabus ya mojamoja kwa moja ambapo sometmz watu wanaenda wamesimama kwa almost 1800km pili cdhan kama yutong inaweza ikahimili

Ongea na yule msambaa"Mining Nice"akupe ujanja zile scania alitengenezea wapi,hivi Pemba to Maputo je kuna bus ya moja kwa moja?
 
Ongea na yule msambaa"Mining Nice"akupe ujanja zile scania alitengenezea wapi,hivi Pemba to Maputo je kuna bus ya moja kwa moja?

...Ni MANNING NICE, Mkuu na kama ni zile 2 za Njano za Kwenda Lushoto ni Mchina yule sio Scania ingawa pia sio You Tong. Kaa Standby hapa nitakuwekea jina lake...kitu kama Zhong lakini nivumilie kidogo nipate spelling zake kwa uhakika zaidi...!
 
Leo kelele utafikiri kampuni imeanza jana.
Kisa RC Makonda

Watanzania wengine DUH!!
Wivu mbaya sana eti leo mnaongelea wahindi..
 
Leo kelele utafikiri kampuni imeanza jana.
Kisa RC Makonda

Watanzania wengine DUH!!
Wivu mbaya sana eti leo mnaongelea wahindi..
Yani wewe kichwa chako ni mzigo husomi post inataka nini unakurupuka tu hivi wewe ni mchepuko wa DAB nini?
 
Yani wewe kichwa chako ni mzigo husomi post inataka nini unakurupuka tu hivi wewe ni mchepuko wa DAB nini?

Basi chako ndio zaidiiii
Ungekuwa sio mzigo ungesoma na kuona nini kilichomo

Jipige vibao vya usoni ulie.
 
Basi chako ndio zaidiiii
Ungekuwa sio mzigo ungesoma na kuona nini kilichomo

Jipige vibao vya usoni ulie.
Mnahitaji msaada mkubwa wa kisaikolojia maana akili zenu zimeoza hazifai watu wakizungumza vitu vya maana mnahisi mnazungumzwa nyinyi Na ndio maana hamna tena hata ubinadamu nyie ni akina nani msizungumziwe?

Yes mwana wa MuNgu alihojiwa Na kukataliwa pia lakini hakuwahi kuwa Na mihemuko kama yenu Sasa nyie msiojua hata kesho yenu kitu kidogo tu mnakurupuka hovyo
 
Basi chako ndio zaidiiii
Ungekuwa sio mzigo ungesoma na kuona nini kilichomo

Jipige vibao vya usoni ulie.
Post ya 2011 inakuwasha huyo mumeo alikuwa wapi huo mwaka aseh msaada wa MuNgu unahitajika hatuwezi kamwe ifikia nchi ya ahadi embu jicheke Bibi yangu afu usiku wote huu unakuja Na mawazo ya uharo hivo wacha wenye fikra zetu tupange mipango ya maana wewe endelea kuwaza hivo shudu zako
 
Nionyeshe walipomzungumzia mumeo apo
Hili zigo lina akili ndogo kweli, uzi wenyewe ni wa tangu 2011 kabla hata huyo mumewe hajaja mjini lakini likiona tu tukio linaloendana na shughuli ya mumewe linajibu tu utafikir ni litaahira.
 
Hili zigo lina akili ndogo kweli, uzi wenyewe ni wa tangu 2011 kabla hata huyo mumewe hajaja mjini lakini likiona tu tukio linaloendana na shughuli ya mumewe linajibu tu utafikir ni litaahira.
Jinga sana hili Bibi nasikitikia uzao wake pia mana humo ndani hakuta kuwa Na mawazo huru kabisa ni mwendo wa mihemko tu sijui hao watoto wanaishije aseh
 
Leo kelele utafikiri kampuni imeanza jana.
Kisa RC Makonda

Watanzania wengine DUH!!
Wivu mbaya sana eti leo mnaongelea wahindi..
Hulali unakurupuka tu, thread ya mwaka 2011 hii.

Kuwashwawashwa kubaya hivyo kumbe

Makonda oyeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom