Tanzania bus body builders

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
10,317
10,938
Je kuna mtu yoyote anaeweza kunisaidia kuhusu kampun yoyote iliyoko tanzania inayojihusisha na utengenezaji na uuzaj wa mabus makubwa kwa hapa tanzania. Nnataka nifanye tathmin either kuimport au kununua hapa kwa sabab naona naona mabus ya ktz nimazur sana kwa barabara zetu tofaut na ya nje
 
mkuu zaman ilikua inakubalika kubuy chasis then ukaipeleka quality group wakakuundia bus,ila kwa sasa hairuhusiw,unatakia ununue chasis ya bus moja kwa moja,ni bora kununua marcopolo ya south africa kuliko kununua chasis then ukaja board hapa bongo.
 
nenda anzia scania au dtdobie watakupa muongozo wa ma bus!vipi mchina YUTONG is cheap
 
nenda anzia scania au dtdobie watakupa muongozo wa ma bus!vipi mchina YUTONG is cheap
tatizo sehem nipoyapeleka hakuna spea za yutong nataka yafanye kaz mozambique coz kule kuna matatizo ya usafiri kwa mfano toka nampula mpaka maputo hakuna mabus ya mojamoja kwa moja ambapo sometmz watu wanaenda wamesimama kwa almost 1800km pili cdhan kama yutong inaweza ikahimili
 
mkuu zaman ilikua inakubalika kubuy chasis then ukaipeleka quality group wakakuundia bus,ila kwa sasa hairuhusiw,unatakia ununue chasis ya bus moja kwa moja,ni bora kununua marcopolo ya south africa kuliko kununua chasis then ukaja board hapa bongo.
thanx mkuu lakini nimeangalia bei zao naona ziko juu sana
 
Yusufali hawana website? Nimejaribu kucheck Quality group wanaonyesha majengo.
 
Yusufali hawana website? Nimejaribu kucheck Quality group wanaonyesha majengo.
Yusufali hawjengi mabasi ni malori tu. Kama walivyosema ni Q Goup, Dar Coach, na Simba Coach ( ya Azim Dewji).Kama unaoperate Mozambique ni bora uchukue haya ya Marcopolo au wayayotengeza S/afrika.
 
seo4.jpg
seo3.jpg

song.jpg
signature.jpg

baby2.jpg
 
kwa njia za mozambique nunu fuso,peleka kenya wanakujengea body nzuri kabisa, FUSO ina uwezo mzuri na spare zake sio gharama kama SCANIA etc.ila fanya tafiti JE serikali ya mozambiki inasemaje juu ya malori kuwa mabasi.kuna kampuni ya mabasi ya mombasa-Dar ,Tashrif etc wapo pale lumumba in Dar wao ndio aina ya mabasi wanayotumia kwa DAR-TANGA-Mombasa.
ukihitaji msaada zaidi kuna gereji huwa wanfafanya hizi kazi ,(my cousin anapark scania zake ktk hii garage) huwa wanaleta fuso na kuifanyia matengenezo na kuwa bus.
hii gereji ipo kurasini mivinjeni opposite na petrol station ya magari ya serikali karibu na BP kurasini.
 
wanaruhusu coz wanaproblem na usafir nimeona hata most of wa tz wanatumia hiz gar za kwetu huku na kwa sasa wana program watu wenye uwezo kuimport magar under tax relief kwa miaka mitano
 
Nimeisoma hii habari kwa mvuto sana. Mimi ni wakala wa mabasi ya Zonda-chinese buses. Tunatengeneza mabasi ya aina yote. Ni ya viwango vya juu sana, na Zonda inatengeneza mabasi kutokana na mahitaji ya mteja. kwa mawasiliano zaidi, nipigie 0784419030
 
Thanx mkuu ntakutafuta. mnatumia chassis za aina gani?
 
Je kuna mtu yoyote anaeweza kunisaidia kuhusu kampun yoyote iliyoko tanzania inayojihusisha na utengenezaji na uuzaj wa mabus makubwa kwa hapa tanzania. Nnataka nifanye tathmin either kuimport au kununua hapa kwa sabab naona naona mabus ya ktz nimazur sana kwa barabara zetu tofaut na ya nje

Dar Coach Builders ndio inayoongoza kwa sasa katika uundaji wa bodi za mabasi Tanzania. Mfano mmoja ni huu:

img_0861.jpg

IMG_0853.jpg
 
Dar Coach Builders ndio inayoongoza kwa sasa katika uundaji wa bodi za mabasi Tanzania. Mfano mmoja ni huu:

img_0861.jpg

IMG_0853.jpg

...Mkuu Bingwaman, Kwa 'Kifaa' kama hiki kweli jamaa wanaonekana wanajitahidi. Lakini sioni kama mabasi haya yanatamba sana huko Barabarani.
Je Wameanza karibuni huku kutengeneza bodi za Magari ama Bei zao ni Kabaambee??
Kwa Mfano 'Kifaa' kama hiki kinaweza Kikawa ni Shilingi Ngapi maana naona hata kwa shepu ya Nje tu Yu Tong hawaoni ndani lakini ndio wanapeta huko mabarabarani!
 
Kampuni hii ipo sasa kwa zaidi ya miaka 10. Kama sikosei nilianza kuona mabasi yenye bodi za Dar Coach mwaka 2001. Sina hakika kama kampuni hii ndio ile iliyokuwa ikijulikana hapo zamani kama Kartar Singh and Hari Singh. Tatizo la kampuni za Tanzania ni kutojitangaza. Hawa jamaa wanaunda bodi nzuri lakini cha kustaajabisha ni kwamba hawana website, tofauti na wenzao wa Kenya. Kampuni zote kubwa za Kenya za uundaji wa bodi za mabasi – Master Fabricators, Malva, LSHS, Choda Fabricators na KVM – zina websites. Kuhusu bei, kampuni kama Dar Coach huunda bodi katika chassis wanazopelekewa na wateja wao na bei hutegemea aina ya bodi. Sina taarifa kamili kuhusu bei ya bodi la basi linaloonekana hapo juu lakini nina hakika bei ya basi zima (chassis na bodi) itakuwa juu kulinganisha na Yutong ikizingatiwa kuwa basi hili katika picha ni aina ya Scania (F270).
 
Kwani bei ya bus kama Yutong au hayo mengineyo yanayotengenezwa Kenya au Dar yanasimamaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom