Tanzania: Bunge Bila wabunge wa CHADEMA lingekuwaje?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Jana nilimsikiliza Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa makini. Nimeona umuhimu wa kuwa na wabunge kutokea CHADEMA. Pia nimeamini kuwa Kuwepo kwa mbunge mmoja wa CDM ni sawa na kuwa na wabunge 20 wa CCM/Magamba.

Lakini swali katika tafakuli hii ni Kama wabunge wa CDM wasingekuwepo Bungeni, hali ingekuwaje?
Tafakari, Chukua hatua.

Quality
 
Jehanam ya mafisad! ht wale watoto wadogo wa jk tayar nao wangekuwa washawekwa kwny system.
 
ingekuwa kama ilivyokuwa miaka ile,
watu wanalala kama pono kwa makochi mekundu na udenda ukiwachuruzika. meza zikigongwa na wao wanazinduka usingizini wanagonga,
kila swali jibu lake ni "serikali ipo mbioni..."
watu kipindi cha bunge kikianza wanabadilisha channel haraka sana....the most boring tv program in the world.
 
Back
Top Bottom