Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Breweries Ltd

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mukubwa, Jul 27, 2009.

 1. M

  Mukubwa Senior Member

  #1
  Jul 27, 2009
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwa mujibu wa habari hapa kenya kampuni ya bia ya africa mashariki itavunja mkataba wake wa makubaliano ya kibishara na kampuni ya bia Tanzania, hili linafanyika ili waweze kununua kampuni ya bia ya Serengeti. Source KTN news.
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,554
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ni mambo ya biashara tu hayo..!
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,826
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hivi Serengeti nani sana anaimiliki??

  Vipi bia ya Tusker tutapata??

  Tusker Baridii Upo hapo?? Mzee Unaweza kufafanua??
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 23,913
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180

  Mkuu Kibs naona wanagusa sehemu muhimu muhimu!
   
Loading...