Tanzania bila umeme inawezekana..

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
kumbe tulikosea kuwa na kauli mbiu ya "tanzania bila ugonjwa wa mbu" inawezekana, tungesema kuwa "tanzania bila umeme" inawezekana. Ndiyo inawezekana bila umeme maana tumeza, na tena "mgawo wa umeme UNAKUBALIKA." kama ingekuwaa haiwezekani tungekuwa hatuko gizani. wapi julius kambarage nyerere (waziri mkuu wa kwanza tanzania), wapi rashidi

faume kawawa "simba wa vita" (waziri mkuu wapili wa tanzania), wapi salimu ahmad salimu, wapi cleopa davidi musuya, wapi edward moringe sokoine, wapi joseph sinde warioba, wapi sigwiyimise john samwel malecela, wapi fredrck truwei sumaye, wapi edward ngoyai lowasa......?? jamani hawa watu walikuwa makini au hawakuwa makini.............?????????????
 
Heheheeee! Mkuu kama hakuna fumbo hapo, umeingia choo cha kike! Sasa subiri warudi wenyewe wakujibu kama siyo wakutoe baru!!
 
kumbe tulikosea kuwa na kauli mbiu ya "tanzania bila ugonjwa wa mbu" inawezekana, tungesema kuwa "tanzania bila umeme" inawezekana. Ndiyo inawezekana bila umeme maana tumeza, na tena "mgawo wa umeme unakubalika." kama ingekuwaa haiwezekani tungekuwa hatuko gizani. Wapi julius kambarage nyerere (waziri mkuu wa kwanza tanzania), wapi rashidi

faume kawawa "simba wa vita" (waziri mkuu wapili wa tanzania), wapi salimu ahmad salimu, wapi cleopa davidi musuya, wapi edward moringe sokoine, wapi joseph sinde warioba, wapi sigwiyimise john samwel malecela, wapi fredrck truwei sumaye, wapi edward ngoyai lowasa......?? Jamani hawa watu walikuwa makini au hawakuwa makini.............?????????????

hawakuwa makini walikuwa ccm
 
Na tuna nguvu mpya ya kukubaliana nayo, Ari mpya ya kutafuta generator/solar, na Kasi mpya ya kuongezeka umasikini...
 
Nafikiri sasa waje na slogan ya "UMEME KWANZA" ku replace ile ya kilimo kwanza.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom