Tanzania: Bei ya mafuta yapanda!

hii nchi hata taahira anaweza kuiongoza, watu wapole kama mang'ombe yaliyohasiwa.Inakuwaje mafuta yapande kwa kiasi hicho kisha watu wamekaa tu kimya?
 
Nchi ya wajinga kama TZ kila mtu anaweza kuiongoza,mbona nchi za jirani mafuta hayajapanda bei hivi? kwani sisi tunanunua wapi?
 
Back
Top Bottom