Tanzania: Bahari Beach Satellite City

This is yet another somalialization of Tanzania. Those complaining about the so-called Mfumo-Kristo where are they?

Should we say that is the islamization of our commerce mingled with pirate money? Instead of allowing every 'investor' we need to know if his money is clean. We were recently told that our MPs are drug pushers and user. Is this the product of having such a dooper-ridden parliament? No this is gross call it whatever in the good name of investment. This money is filthy and stinky if we can call a spade a spade. Why don't they go and build the so called satelite city in Mogadishu, Kismayu or Puntland?

Kikwete help us. This is sacrilegeous even if you or your major domos can have a share in this abracadabra.
 
Kama viongozi wetu muda wote wanawaza jinsi ya kubadili damu, unategemea nini??? Pia na sisi waTZ tumezidi uzuzu na uzezeta, waacheni wasomali wajinyakulie hii nchi isiyokuwa na mwenyewe, tutakuja kustuka kutakapokucha....
 
Hivi Somalia kuna biashara gani mpaka izalishe matajiri wa kuja kuwekeza Tanzania? What i know ni kwamba hawa jamaa wanapasuana usiku na mchana na wanashida vibaya mno mpaka wengine wanaamua kupakimbia kwa kupakiwa kwenye makontena kama unga wa ngano.

Ina maana hizi opportunities wafanyabiashara wa hapa nchini kwetu kama kina Mzee Mengi hawazioni au ndio kuogopa alichowahi kukisema wakati wa kuuzwa kwa Kilimanjaro Hotel, (MCHEZO MCHAFU). Uwekezaji huu hauwezi kufanywa na mashirika yetu ya hifadhi ya jamii kama NSSF, PPF, LAPF, PSPF?

What is the aim of CCM, ni kuuza nchi vipande vipande then iweje sasa....wahame nchi au....
 
Acheni ubaguzi ,mbona wakina Kinana na Rage ni wasomali lakini hamuwalalamikii kuwa ni WASOMALI!! Kinana ni kiongozi wa chama cha magamba wanaetaka achukue nafasi ya Mukama na Aden Rage ni mbunge kwani wao sio wasomali kama wale Investors wa Bahari beach?
 
Tuache wivu wakijinga waache wawekeze, au mnawataka mafisadi wa kibongo walioiba na kuwekeza kwenye nchi za wengine?, acheni vitu vizuri viwepo Tanzania, Nawapongeza kwa Uwekezaji mzuri
 
Hakuna cha wivu wa kijinga wala kijanja. Kinachotuhangaisha ni dhuluma wanayofanyiwa ndugu zetu wa Somalia ukiachia mbali kuhatarisha mstakabali wa taifa hapo baadaye.

Rage na Kinana wameingia nchini kwa taratibu zinazokubalika. Hawa wawekezaji ingawa wanaweza kuonekana wameingia kihalali lakini ukiangalia chanzo cha pesa au utajiri wao ni damu za watu wasio na hatia ambao kila siku wanakufa kwenye magari ya mafuta na mizigo wakitaka kukimbia balaa linaloendeshwa na hawa wezi wanaoitwa wawekezaji.

Wanaoona kuhoji vyanzo vya utajiri wa hawa wasomali ima ni mafisadi au watu wasioangalia kesho bali leo leo kama wapiga debe au tuseme voda fasta.
 
Sasa nimeamini nchi imeshauzwa! Hawa jamaa wanajitwalia maeneo yetu kama hayana wenyewe na viongozi wetu wanayauza kama vile dunia inaisha baada ya sisi, watu hawa watalimiliki maeneo haya vizazi na vizazi na wanapewa kishkaji kwa kuamini kuwa nchi nikubwa mno au baada ya kupenyeza rupia, je wangefanya haya kina Nyerere na Kina Kawawa tungekuwa na nchi kweli? Tutakuwa wapi miaka 50 ijayo i mean nchi itakuwa imebakia kipande gani?

These people leo wanaingia kama wawekezaji wakiwa mikono nyuma lakini baada ya mda watajipenyeza kwenye siasa zetu hizi ambazo wenye hela ndio wananafasi na tumeona mifano kwakina Rostam, Dewj, Abood Kina Rage na wengine wa aina hiyo! Hakika nawaambieni watanzania wenzangu hawa jama watakuja kutuvuruga mpaka na hao wanaotoa maeneo yetu watakuja kuvurugwa vilevile na kama sio kizazi hiki basi ni kizazi kijacho!

Anyway Mwenyezi Mungu atusaidie
Ulimwengu wa leo ni wa sayansi na tekinologia, mataifa yaliyoendelea yako makini kukinga mali zisichukuliwe kwenda nje ikiwa ni pamoja na pesa taslim idadi kubwa.

Mali isiyohamishika nchi nyingi zinapenda maana mali inabaki ni ya Tanzania. Kumbuka wahindi na wazungu walivyojenga miaka hiyo na kisha Nyerere kuwanyang'anya kipindi cha Azimio la Arusha zao ambalo liliibua kupata Msajili wa Majumba na baadaye kubadilika na kuwa Shirika la Nyumba Tanzania.
 
Wala usisingizie hoja ni muda wa kung'ata umefika nenda kajijaladie na magimbi huko

Watu tushakula zamani saa hizi tungoja swalatul Fajr. Uko dunia hii.

Mtu alete fedha kwenu, ajenge kwenu, azungushe fedha kwenu, akuwachie utajiri wa kodi, wewe unasema imeuzwa nchi, ulijenga wewe ukakataliwa? wewe nikikuita hamnazo ntakuwa nimekosea?

Kuna Wachagga wananunuwa nyumba London na Dubai. Sasa hao si ndio wanauza nchi au hujui hilo? mmoja wapo ni Mweyekiti wa chadema.
 
Watu tushakula zamani saa hizi tungoja swalatul Fajr. Uko dunia hii.

Mtu alete fedha kwenu, ajenge kwenu, azungushe fedha kwenu, akuwachie utajiri wa kodi, wewe unasema imeuzwa nchi, ulijenga wewe ukakataliwa? wewe nikikuita hamnazo ntakuwa nimekosea?

Kuna Wachagga wananunuwa nyumba London na Dubai. Sasa hao si ndio wanauza nchi au hujui hilo? mmoja wapo ni Mweyekiti wa chadema.
Hela chafu za maharamia nazo unajisifia kuwa anawekeza? Au ndio viongozi wenu wa baadae Kama wakina rostam, manji, bashee, kinana na mafisadi wengine wa kihindi na kisomali ambao ndio wachangiaji wa kubwa wa Chama chenu cha mabwepande mkiambiwa ni Chama cha matajiri mnakataa
 
Back
Top Bottom