Tanzania baada ya uchaguzi je ni kweli haitatawalika?

Chadema kwishney!
Slaa hana jipya.
Mbowe kajificha.
Zito tena ndio hivyo
Safari anahangaika kujibu ishu za udini ndani ya chadema.
Lisu anahangaika na kesi!
Kwa kifupi uongoz wote wa chadema upo upo tu!
sometimes huwa unanifurahisha sana mkuu
 
Tatizo lao walifikiri tanzania ni Arusha na Moshi tu. Slaa ndio uzee umevamia ghafla, hii inatokana na kupata mtoto uzeeni(kuna hitilafi kuwa sio wake), Mbowe ndio kazi kulewa tu, Lissu anajaribu kushindana na Rais kwa safari na Zitto ndio ametaka kutolewa roho na wazee wa CDM. Kabaki yule kichaa wa Arusha na yule kicheche wao.
 
JF ni ya kila mtu!!!Mjinga,mpumbavu,mwerevu nk!!!watu wote wana haki tu kuleta wanayofikiria,japo ni pumba isiyofaa kwa lolote!!!sanasana tunakukaribisha humu dogo!!!!!!
 
Vyama vya kiukoo utaviona tu.
Matusi na kejeli pindi wakiishiwa sera.
OTIS.
 
  • Thanks
Reactions: Omr
Mara tu baada ya kumalizika uchaguzi Mkuu CDM walikuja sijui sera au tuseme mkakati wakizunguuka nchi nzima wakiwashawishi watanzania wasikubaliane na ushindi wa Dk Jakaya mrisho kikwete hasa walipokuwa pale Arusha, Slaa na Ndesa waliwachochea wanainchi wafanye vurugu waende wakawatoe watu waliokuwa wameshikiliwa na police, Leo naona hali ni shwari, Je wameshindwa mkakati wao huo au ndio CDM nao wanaelekea shimoni?
Wananchi wameshawapuuza kwa propaganda zao za kujifunza.
 
Tatizo lao walifikiri tanzania ni Arusha na Moshi tu. Slaa ndio uzee umevamia ghafla, hii inatokana na kupata mtoto uzeeni(kuna hitilafi kuwa sio wake), Mbowe ndio kazi kulewa tu, Lissu anajaribu kushindana na Rais kwa safari na Zitto ndio ametaka kutolewa roho na wazee wa CDM. Kabaki yule kichaa wa Arusha na yule kicheche wao.

Mkuu naneno yako Kuntu
 
Mara tu baada ya kumalizika uchaguzi Mkuu CDM walikuja sijui sera au tuseme mkakati wakizunguuka nchi nzima wakiwashawishi watanzania wasikubaliane na ushindi wa Dk Jakaya mrisho kikwete hasa walipokuwa pale Arusha, Slaa na Ndesa waliwachochea wanainchi wafanye vurugu waende wakawatoe watu waliokuwa wameshikiliwa na police, Leo naona hali ni shwari, Je wameshindwa mkakati wao huo au ndio CDM nao wanaelekea shimoni?
red: kama hujui nyamaza " No research no right to speak "

kijani:inaelekea unapenda sana watu wafe ni mchochezi wewe

fanya analysis ndogo tu baada ya Arusha CDM wamaefanya maandamano na mikutano mingapi ya AMANI fikiri kwa nini Arusha kulitokea Mauaji. Acha niishie tu hapa maana umekiri kuwa hujui
 
Midomoni mwa Ndesamburo na Looser Slaa
MAjizi ya kura Utayajua tu Yanavyojifagilia Na hili la Mkuu mwizi Nchi nzima na dunia Inajua tuanze kuweka Ushahidi ????

CCM Itashindwa kubebeka bora utulie Rejao utawahalibia watu kwa upupu wako unaoongea

hivi hata kwa familia yako ndio unavyoongea maneno kama haya ati looser?? pure looser huwa anakuwa amecheza fair game sio hili la Tanzania Uchakachuaji limepata jina na ni mmelihalalisha wenyewe
 
Mara tu baada ya kumalizika uchaguzi Mkuu CDM walikuja sijui sera au tuseme mkakati wakizunguuka nchi nzima wakiwashawishi watanzania wasikubaliane na ushindi wa Dk Jakaya mrisho kikwete hasa walipokuwa pale Arusha, Slaa na Ndesa waliwachochea wanainchi wafanye vurugu waende wakawatoe watu waliokuwa wameshikiliwa na police, Leo naona hali ni shwari, Je wameshindwa mkakati wao huo au ndio CDM nao wanaelekea shimoni?

Wewe ndio unaelekea shimoni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom