TANZANIA Baada Ya Miaka 50

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Wanaume tumebakia palepale ,ila wakina mama na madada na mabinti wamepiga hatua kubwa sana,si hasha baada ya miaka 50 mingine kutakuwa hakuna Mtanzania wa kike mweusi,hivi niandikapo tayari asilimia kubwa ya wananawake wa Tz wamefanikiwa kujibadilisha kuelekea uweupeni.
Kama uliondoka Tz miaka mingi ukitua leo pale uwanja wa ndege tu utaona mabadiliko ya wanawake wa Tanzania, nywele !! zile nywele ulizozizoea kwa wanawake wa Kitanzania leo hawanazo tena na hazipo,wamebakia wa vijijini nako huko wapo mbioni ,aidha unaweza kufikiria na kufikiri ni wahindi au waarabu ,kumbe nimaendeleo ya miaka hamsini ya uhuru ,au wadau mna hoja ?
Wanaume tuzidishe juhudi nasi tuanze na nywele tuwache kunyoa vipara .
 
Hii ndipo huwa najiuliza uzalendo wetu uko wapi? tunauthamini Uarabu, Uhindi na Uzungu. Na analysis zako zinathibitisha hayo.
 
Back
Top Bottom