Tanzania Aviation Safety at Ransom as OilCom Secures tender to Refuel Aircrafts at Airports

Sophist

Platinum Member
Mar 26, 2009
4,484
3,400
Ndugu,
We would like to alert the public, especially the air travlling public about the Oil Com recently won tender to refuel aircraft in Tanzania airports, possibly replacing BP. The safety of air travelling community is at ransom given the fact that most of aircraft accidents are strongly associated with adulterated fuel, the household practice of OilCom. I can foresee reputable international airlines such as KLM, BA and others, avoiding landng at JNIA and/or KIA being their strategy to do away with Oilcom's adulterated fuel, and therefore ensuring safety of their planes.
Pity for PAA air travellers together with those of other local airlines and chartered planes, which have started sucking the OilCom dirty fuel, especially at Mwanza airport.
Despite the much expected negative economic impact and air travel safety, Tanzanias should wait to see what grand corruption in public procurement and energy sectors will bring to their country.
 
Ningependa kufahamu kama una ushahidi wa oilcom kusupply mafuta ya ndege yaliyochakachuliwa. Kumbukumbu yangu ni kwamba bado BP ndo anaye supply mafuta ya ndege kwenye viwanja vya ndege nchini mathalani JNIA na KIA.<br />
Hao oilcom wameweka lini miundombinu ya kusambaza mafuta ya ndege kwenye hivyo viwanja vya ndege?
 
Ni kama hutaki kuamini vile....
 
Ata mafuta ya gari yang huwa sijazi oilcome kwa woga sembuse mafuta ya ndege
Naona sasa masihara yamehamia kwenye UHAI jamani twaenda wapiUnatarajia klm,Ba watakunywa ilo wese?
 
Oilcom "alishinda tenda" ya kujaza ndege mafuta "miezi 3 kabla ya Uchaguzi Mkuu 2010". Tayari ana-refule ndege Mwanza Airport.
Habari ndio hiyo
 
Ni kama hutaki kuamini vile....

Si suala la kuamini, hapa tunazungumzia reality. Hata juzi ewura ilipotangaza kuwafungia BP kuuza mafuta tuliambiwa mafuta ya ndege wataendelea kuuza kama kawaida, ndio maana nikataka kupata ushahidi zaidi wa jambo hili toka kwako.

Ata mafuta ya gari yang huwa sijazi oilcome kwa woga sembuse mafuta ya ndege
Naona sasa masihara yamehamia kwenye UHAI jamani twaenda wapiUnatarajia klm,Ba watakunywa ilo wese?

Na hii ndio sababu ya mimi kutaka ushahidi zaidi kwa mleta thread kwa kuwa kama mafuta ya magari tu tunawahofia oilcom, itakuwaje mafuta ya ndege? hata kama kuna mtu kachukua ten percent si rahisi kiasi hicho kuwaachia oilcom wauze mafuta ya ndege.
 
Oilcom "alishinda tenda" ya kujaza ndege mafuta "miezi 3 kabla ya Uchaguzi Mkuu 2010". Tayari ana-refule ndege Mwanza Airport.
Habari ndio hiyo

ahsante kwa taarifa.

Je wanatumia miundombinu yao wenyewe katika kuhifadhi, kusambaza na kujaza mafuta kwenye ndege ama wanashirikiana na BP?
 
ahsante kwa taarifa.

Je wanatumia miundombinu yao wenyewe katika kuhifadhi, kusambaza na kujaza mafuta kwenye ndege ama wanashirikiana na BP?

Tembelea Mwanza Airport uone mwenyewe ngudu; kuna gari lao pale, na ndilo wanalotumia kujaza mafuta kwenye ndege uwanjani hapo.
Binafsi nimeswahuhudia mara mbili wakifanya hivyo mwezi huu (August).
Lakini mlioko Mwanza mnaweza kutujuza zaidi na kuthibitisha suala hili.
 
kama ni kweli, oil come walimepata tender ya ku fuel ndege, itakuwa ni ku fuel as per standard and specifications of jet fuel. kitu muhimu ni wataalam wa serikalini kuakikisha viwango vya ubora wa mafuta vinafikiwa.

jambo la kushangaza hapa ni credibility ya oilcome haiwaruhusu kupata tender waliyopata.
 
Tembelea Mwanza Airport uone mwenyewe ngudu; kuna gari lao pale, na ndilo wanalotumia kujaza mafuta kwenye ndege uwanjani hapo.
Binafsi nimeswahuhudia mara mbili wakifanya hivyo mwezi huu (August).
Lakini mlioko Mwanza mnaweza kutujuza zaidi na kuthibitisha suala hili.

Mimi niliachana nao siku nyingi sana,walivyoanza nilikuwa nachukua mafuta ya Taa kwa jumla na kuuza lejaleja nilikuwa na soko zuri sana jamaa wakaanza kufungua vituo vya kuuza rejareja kwa bei ya chini ya ile niliokuwa nauza,niliwaeleza kitu wanachofanya sio kizuri mimi nachukua kwao mafuta tena wananifuata nakushusha bei nikaachana nao.Kingine magari yangu yalikuwa yanatumia mafuta yao kwa ajili ya uhusiano wa kibiashara,jamani walianza kuchakachua haikutosha Pumb attendant wao nao wakawa wanawaibia wateja,siku hiyo niliwafungia kazi ikabidi mafuta yapimwe walinichukia sana na nikatemana nao,kituo kilikuwa magomeni mwembechai.
Hawafai hawafai hata kidogo ni hatari hao kama hawajajirekebisha.
 
oilcom "alishinda tenda" ya kujaza ndege mafuta "miezi 3 kabla ya uchaguzi mkuu 2010". Tayari ana-refule ndege mwanza airport.
Habari ndio hiyo

utamjuaje rostam si amewaachia ubunge lazima awamalize huku
 
Kampuni ya pradise groundhandling inayomilikiwa na riz 1 kikwete nayo imeshinda tuzo na muda si mrefu watakuwa wakianza kupepetana na swissport kwenye shuguli za handling airport wakishirikiana na wakenya kampuni yenye uzoefu kidogo huko nbo kuhusu ghandling
kazi kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom