Tanzania and hiv/aids

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, 2011 KITAIFA NA MIAKA 10YA TACAIDS KUFANYIKA SHINYANGA, TAREHE 1 DESEMBA 2011Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inawaarifu wadau wote wa kudhibitiUKIMWI nchini kwamba maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kitaifa mwaka huuyatafanyika mjini Shinyanga, tarehe 1 Desemba 2011. Aidha, maadhimisho ya Siku yaUKIMWI Duniani yataambatana na Maadhimisho ya Miaka 10 ya TACAIDS. Kilele chaMaadhimisho hayo kitatanguliwa na wiki ya maonyesho ya shughuli za Wadau waUKIMWI.KAULI MBIU KUU YA SIKU YA UKIMWI DUNIA 2011 NI: “TANZANIA BILAYA MAAMBUKIZI MAPYA, UNYANYAPAA NA VIFO VITOKANAVYO NA UKIMWIINAWEZEKANA.Kauli mbiu ya mwaka huu imetafsiriwa kutoka Kauli mbiu ya kimataifa iliyotolewa naShirika la Umoja wa Kimataifa linalohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI – UNAIDSinayosema: “GETTING TO ZERO: ZERO NEW INFECTIONS, ZERODISCRIMINATION AND ZERO AIDS RELATED DEATHS” .Wadau wa UKIMWI wanaweza kutumia kauli mbiu kuu hiyo kwa ajili ya zana zakujitangaza na vyombo vya habari.Wadau wote wanaombwa kushiriki katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya UKIMWIDuniani. Kwa taarifa zaidi wasiliana na TACAIDS.
 
Back
Top Bottom