Tanzania: A call for change!

Dr.Dambisa Moyo is a brilliant Economist.Nimesoma vitabu vyake na ameandika ndani ya reality context.

-Ni juzi tu baada ya Sata kuingia madarakani ameamua kumtumia baada y kuona mataifa mengine yanamtumia hususani Botswana na makampuni makubwa kama consultant

Kitabu chake cha 'Dead Aid' kimeenda deep jinsi Afrika tunavyotegemea US na Europe at our detriment

Akija Tanzania sijui ataandika nini hasa anapopenda kutoa mfano kuwa Rwanda kusajili makampuni inachukua only 30 minutes na kuifanya Rwanda kuwa mioni mwa mataifa friendly zaidi kwa investment duniani.In Tanzania it takes ages to register a Business

-Pia kwa mfano 65% ya population ni vijana under 30 lakini serikali haioni potential ya kuwekeza kwa hii vijana kujenga uchumi baadae

Watanzania wengi si wasomaji na watafiti,wakiongozwa na viongozi wao.Kitu hii hawataki kabisa kusikia.
 
Ndugu Ben, naomba nikuulize, wewe kama kijana msomi ulie bahatika kupata elimu nje,je kati ya Slaa,Mbowe na Zitto ni nani anafaa kuongoza hii nchi?
 
Ndugu Ben, naomba nikuulize, wewe kama kijana msomi ulie bahatika kupata elimu nje,je kati ya Slaa,Mbowe na Zitto ni nani anafaa kuongoza hii nchi?
Africa does not need Aid to develop.
The agenda of aid to Africa is a hoax, aid does not attract investment, neither does it help Africa grow out of poverty and build the economy it needs.
 
Misaada inazifanya Serikali za Mataifa ya Afrika kufanya kazi chini ya kiwango.
 
Mama j,mbona unahangaika hivi? Kuna nini?

Majebere,mimi ni mtanzania,ninauchungu na nchi yangu.

Ninauchungu na watoto wangu.Sijui nikifa leo wataishi vipi,watakuwa nani maana no future with my country.

Achana na issue za personality,whatever it is CCM lazima iondoke,Ni mungu anajua what next because what am doing today is to work for my today Kesho ni ya Mungu.

Tafadhali napo simama mimi kama mimi wewe unahaki ya kuniuliza maswali zungumza yako pia.
Sijamtaja kiongozi yeyote kwanini unakimbilia kujadili watu? au ndiyo poor mind with lazy muscles?
 
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo.

Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae. Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa vibabu. Zitto yuko wapi aokoe hiki chama?
 
Really CCM must go. How? Deliberate effort, strategies and resources required. Tusiishie kusema CCM must go.... Lazima tuonyeshe njia, tuchukue hatua kama kikundi(taasisi/chama) na mtu mmoja mmoja.
 
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo
.

Hivi aliyekuwa na viti 2 akapata vitano na yule aliyekuwa na viti 27 akapata 22, nani kapoteza na nani kapata?

By the way, hivi Mukama ana umri gani?? Msekwa ana Umri gani? Mpinzani gani unayemtaka wewe apatikane?

Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae. Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa vibabu
.

Slaa kaingiaje hapa kwenye hii mada?? au umekuja na personalities zako kufanya attacks?

Zitto yuko wapi aokoe hiki chama?

Ukiona adui anakupa mbinu eti kwa lengo la kukuokoa ufanye vizuri katika kupambana nae, basi tilia shaka ushauri wake
 
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo.

Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae. Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa vibabu. Zitto yuko wapi aokoe hiki chama?

This is CCM material.
Mnaletwa humu kuharibu mijadala, watu wasijadili issue.
Wapuuzi wakubwa, na inafaa kuwapuuza.

Take this up ya mf ei dabo esi
View attachment 69796
 
Ndugu Ben, naomba nikuulize, wewe kama kijana msomi ulie bahatika kupata elimu nje,je kati ya Slaa,Mbowe na Zitto ni nani anafaa kuongoza hii nchi?

Nje ya mada!
-Hata hivyo siwezi kuliacha hili hivi hivi tu
-Hatujadili ni nani anafaa kuwa Rais bali ni platform gani itakayotoa Mgombea bora
-Kwa sasa Tunajenga platform itakayotoa Rais atakayekata kiu ya watanzania kwa kuwa matatizo yetu kama taifa ni ya kimfumo zaidi na ili kuyatatua ni lazima tujenge mfumo bora.Tunahitaji kuyatatua institutionally.Ndiyo kusema hatuhitaji watu strong bali tunahitaji strong institution in order to solve myriad problems confront our country and Africa at large.

Matatizo yetu ya kutegemea kujenga watu huzaa ubinafsi na udikteta huku umma ukipuuzwa.Tanzania is not an exception and the country needs better than this

So next time badili swali liwe ni platform gani itakayoa sera bora za kuleta mageuzi nchi hii na si watu.CHADEMA Tunajenga taasisi hiyo na hatujadili urais kwa kuwa ni dalili za kujisaliti katika malengo ya taasisi hiyo
 
Watanzania wengi si wasomaji na watafiti,wakiongozwa na viongozi wao.Kitu hii hawataki kabisa kusikia.

Ni kweli hawasomi kabisa na kama ni vitabu basi wanasoma vitabu vyenye title "How to win friends" au "The Corn Masters" ama "The Art of Seduction"

-Ndiyo maana hawataki kufanya utafiti na kupanga.Miaka 40 ijayo Afrika inatarajiwa kuwa na takribani watu Bilioni mbili which means the current population will double.Are we planning kulingana na hili?
-Wakati Dunia inalia na financial crisis ya mwaka 2008,Africa haikua affected sana kwa kuwa ilikua isolated kwenye world market and investment.Tunayo makampuni yasiyozidi 1000 kwenye stock exchange na sijui Tanzania tunayo mangapi hapo

The rising of China is another opportunity for Africa to forge partnership and switch off from traditional imperialists like US and EU block

Africa na Tanzania in particular tunastahili kuwa Business partners na Hao tunaowaomba msaada
 
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo.

Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae.

Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa Majebere tatizo hapa sio CDM....naomba nkuuliza swali, so far mchango wako n upi katika kuikombo TZ?
 
Back
Top Bottom