Tanzania ifuate misingi ya haki na sheria/tuepuke undugu na ubinafsi

mdau kbt

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
401
166
IKIWA NI TUKIO LA KUSIKITISHA NA KUUMIZA KWA VIJANA WALIHITIMU VIDATO.tangazo la sensa ya watu na makazi lililobandikwa katika ofisi ya kata lilionekana na sifa za makarani wawe na elimu kuanzia kidato cha nne na kidato cha sita lakini cha kushangaza na cha kuuzunisha hadi watu wa std 7 wamepata nafasi ya ukarani na mbaya zaid baadhi ya kidato cha sita kukosa nafasi na kupata std7 kidato cha nne wenye leaving na kidato cha sita wachache wamepata na wengiwao wakijikuta wapo kitaa.

Je hili tangazo hizi sifa zilikua zinapamba ukuta?
 
Back
Top Bottom