TANROADS nao?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,726
2,255
Pictures from old camera 467.jpg Pictures from old camera 466.jpg

Ni Iringa /Mbeya Rd
Wakuu hapo kwenye bango la kuonyesha mabaki ya mambo ya kale TANROADS nao waliwawekea mkwara Idara ya mambo ya Kale.
Sasa watalii wa nje na ndani watajuaje kama kuna utalii hapo.
 
Nafikiri Idara ya Mambo ya Kale walipaswa kuzingatia taratibu na sheria za kuweka mabango barabarani. Haijalishi kwamba watalii hawatajua kama kuna kitu cha kufanyia utalii hapo. Maana TANROADS wasipofanya hivyo, raia wengine nao watakuja na mabango yao hapo, kisa bango la idara hiyo limeachwa ili litangaze utalii.
 
Na ndio tatizo la kila mtu wa serikali kuweka kipaumbele katika kazi yake tu bila kufikiria in totality madhara kwa jamii na sekta nyingine.
Hii inaitwa polishing one's own apple.
Hapo wangeongea tu na kuhamisha bango bila kuwekeana mikwala.

Sasa tuwe wachokozi kidogo, lini TANROADS mtabomoa jengo la TANESCO pale Ubungo ili kutimiza matakwa ya sheria.
Absurdity at its best.
 
Kuna 'breakdown' kwenye suala la 'information sharing' katika taasisi na idara za umma Tanzania...
Mara nyingi sana, kila idara/taasisi inafanya kazi kivyakevyake.

Na ndio tatizo la kila mtu wa serikali kuweka kipaumbele katika kazi yake tu bila kufikiria in totality madhara kwa jamii na sekta nyingine.
Hii inaitwa polishing one's own apple.
Hapo wangeongea tu na kuhamisha bango bila kuwekeana mikwala.

Sasa tuwe wachokozi kidogo, lini TANROADS mtabomoa jengo la TANESCO pale Ubungo ili kutimiza matakwa ya sheria.
Absurdity at its best.

Du!
Mazee,kuna sera ya polishing one's own apple ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom