TANROADS na matuta

Ngala

Senior Member
Sep 30, 2009
160
23
Awali ya yote ningependa kuwapa hay wana jr wote. Nimekuwa msomaji bila kuchangia but leo nimeamua kuwapa ukweli tanroad kuwa matuta wanayoyaweka barabarani hususani high way ni kero maana yanasababisha foleni mbaya kabisa bila sababu za msingi.kuna matuta stopover hadi mbezi. Kipande hicho ni kero asubuhi na jioni maana gari haziendi kabisa hata mwendo wa harusi sivyo.cha ajabu nyerere road mbona haina matuta na ni barabara ya miaka mingi. Je kama ni kwa ajili ya ajali kwa nini isiwe nyerere road?NAWAULIZA TANROAD WAZIMU WA MATUTA MMEUPATA WAPI? Chonde mcmind ten percent tu kututesa sisi.twahitaji kuwahi vibaruani asubuhi na tuwahi kurudi jioni kuungana na familia zetu mapema. Nasema CHONDE VIPATO VYENU NI MAUMIVU KWETU.
 
We mtoto jitambulishe kwanza wazee tukupe baraka, unaanza tu na Tanroad we hujui hata pesa za kushikilia majimbo tunatoa huko?
 
Back
Top Bottom