Tanroads kibaha.

Weighbridge Operators tayari walishaitwa na kufanyiwa usaili. If possible nenda hadi kibaha mile 1, huu upande ambao kuna geti yanatokea mabasi yanayotoka Moro kuingia dsm, kuna bar, ukiangaza macho yako vizuri pembeni mwa zile kuta utaona makaratasi yamebandikwa yana majina ya hao weighbridge operators.
Mwanzoni nilipoyaona yale majina ckutak kuamin but ile ndiyo ilikuwa hali halisi, taasisi kubwa kama ile TANROADS bado inafanya kazi ANALOGICALLY, inaenda kubandika majina ya watu "CALL FOR INTERVIEW" kwenye kuta za stand.......!
 
hii kali.
 
kiongozi hawa tanroads kibaha wameita interview. mimi nitafanya ijumaa tarehe nane. na mshkaji wangu atafanya kesho tar sita. zote ni za shift incharge.ila sijajua tupo wangapi nk. kuhusu operators sijajua mkuu wangu. kama vp nikutumie namba yao ya zantel waliyotumia kunicall. jioni njema
 
Poa nitumie kiongozi...
 
Mkuu, naomba unitumie hiyo namba waliyotumia kuku-call..!
 
kiongozi hawa tanroads kibaha wameita interview. mimi nitafanya ijumaa tarehe nane. na mshkaji wangu atafanya kesho tar sita. zote ni za shift incharge.ila sijajua tupo wangapi nk. kuhusu operators sijajua mkuu wangu. kama vp nikutumie namba yao ya zantel waliyotumia kunicall. jioni njema

Nitumie namba yao ili niwasiliane nao. 0715 812862
 
Sasa wamebandika majina kwenye bar hi ni hatari sasa kwa hiyo sisi wa mikoa watabandika wapi...mambo mengine jamani
 
duh mbona huu uhuni sana yan majina yanabandikwa stand tena bar ? sijawahi kuona hii kitu never on earth yan hata mitandao ya kijamii au JF wameshindwa kuja kuweka majina
 
Mmetolea macho hizo nafasi za kibaha. Kuna nini cha maana huko? Mbona nikipita pale nakuta wafanyakazi wamechoka choka na hata mazingira yenyewe ya kazi ni mabaya. Kweli watu mpo juu ya mawe.
 
Jamani siyo kibaha tu hata lindi matatizo tu, haieleweki kama usaili umefanyika wala nini. Tena ndo panahitaji uchunguzi zaidi. Naombeni namba ya magufuli tumuulize kama wasaidizi wake ana waamini kweli kwa madudu wanayo fanya.
 
Back
Top Bottom