Tano bora zako za mwaka 2011 ni zipi

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Iinawezekana kuna wakati uliandika thread au comment saaafi lakini sio member wote walipata/tulipata kuisoma. Yes tuna assume kwa kila member tunachonadika ni bora lakini tuchague TANO bora zaidi na tuweke viunganisho hapa ili member wazipitie au tuzipitie.

Bila kubagua comment au thread zako bora zinaweza kuwa za jukwaa lolote iwe ni jokes, mambo ya kikubwa, Siasa, Mchanganyiko, Dini. Mradi kwa vigezo zako ziwe ni tatu bora zaidi

Jipime mwenyewe , Jifagilie mwenyewe ( Self assesment)

Nawasilisha
Kwa watu kutoa TANO zao bora JF kwa mwaka 2011
 
BIla kufuata mlolongo hizi ni TANO bora za katazmaji

I
Semina elekezi ya bure bila posho
wala kwenda Ngurdoto

II
Huwa kwa wale wanaotembela jukwaa la dini . Nilirusha uzi huu Dini zetu zinawahukumu vipi watoto nje ya ndoa?

III
Mchango wa JWTZ na JKT katika maendeleo na shulughuli za uzalishaji na kukuza vipaji

IV
Hapa nilikuwa nawakumbusha wanaiasa hasa wale wanaojiita vijana .kuwa siasa tu haitatua matatizo bali ni mawazo kama haya yaifanyiwa kazi. inegudua wanassia wengi hawafahamu vlivyo uwezo na nafasi ya TEKNOHAA Katika kuleta maendeleo na kukabiliana na changamoto mbali mbali. Beyond Politics- google map

V
Hapo nilijaribu usanii kuchakachua na kushigongolize hadithi.- Kwa wakubwa tu. Soma Under the office Desk

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/180802-beyond-politics-part-i-google-map.html




 
Back
Top Bottom