Tani 1.5 ya pembe za ndovu toka TZ zakamatwa Hong Kong

Kinana pembe za ndovu Malasia,Hongkong na sasa China amegeuza nchi yetu rorojo sawa bwana kila jambo lina mwisho wake
 
kuna taarifa katika magazeti kadhaa leo kuwa tani kadhaa zenye thamani ya mamilioni ya shilingi yamekamatwa china yakitokea tanzania (zanzibar). Je kuna anayeweza kulisemea hili toka katika wizara ya jk ya maliasili, utalii? Au ndio kila mahali hakuna msimamizi?

zingine zilika matwa somalia kwa alshabab wiki iliyopita.
 
utawala mzima wa ccm ndio zao hizo unafikiri hela za mabango , t-shirt nk zinatoka wapi? kwa wauzaji wa pembe za ndofu, wakwepaji wa kodi na wanoa pata tenda za serikali kama za radar , nssf, barabara, madini nk
lakini kabla ya kwenda mbali wangemuuliza kinaaa, jeee ni zako? kama zake waseme(ccm) ok au huyo jamaaa katoa mchangoooo? ikiwa ndio basi taarifa za kupotosha zitaaanza.
 
Back
Top Bottom