MwanaHabari
JF-Expert Member
- Nov 9, 2006
- 442
- 13
Mulla (mwenyekiti CCM Mbeya) lazima yumo dili hili
Mbona wanatekeza Bangi? Kwa nini tusiuze bangi tujenge Mashule?
Kinana hahusiki?
Kwa hiyo kwa mtazamo wako askari wa game wakilipwa mshahara mkubwa ujangili utakoma? Huoni kuwa inawezekana kabisa huyo huyo anayetoa orders kuhakikisha kuwa hakuna ujangili unafanikiwa ndiye huyohuyo anayeweza kutoa orders kwamba upande fulani wa mbuga kutakuwa na wazalendo wanawinda, hakikisheni hawasumbuliwi ili nanyi msipate usumbufu kwenye ajira zenu? Tena ukizingatia unono wa mishahara ni nani atakaye kubali kuharibikiwa?
Pale serikali ilipopigania kuuza bidhaa hizo haramu wataalamu wa mambo wakasema hapana. Vinginevyo tembo wangeendelea kuuawa na biashara kufanyika legally kwa kigezo cha kuuza stock iliyokamatwa. Usithubutu kumpa upenyo mswahili.
Pure politics
Leo ndio mnajidai kuwakumbuka game scouts kwa kuuza pembe ili mwalipe vizuri no way zichomwe tu kwanza hao game scouts ndiyo majangili menyewe yanashilikiana majangili kina Kinana.
Kinana hahusiki?
Hii nchi nawaambiwa kama ccm watarudi madarakani basi tuombe mapinduzi ya kijeshi!
Yes. Kama haitakoma, itapungua kwa kiasi kikubwa. Wataalamu unaosema walipinga tu lakini hakuna aliyeweza kuonyesha link between one-off sale of ivory stockpile and poaching. Baadhi ya wanasayansi walijikuta wakiunga mkono hoja za interest/advocacy group. No evidence. Sasa unapokuwa scientist na kufanya advocacy [issue advocate], unajimaliza kwa sababu watu hawawezi kuamini study zako wakati inafahamika kwamba you are advocating for a particular issue [i.e. you are inherently biased].
Hey, check out this paper which was published in the Journal Science by the experts you can undoubtedly refer to as Elephant Authority. They have been studying elephants for their entire career. They wrote this paper in the wake of the last CITES conference in Doha. In this paper, they decided to take the position of Issue Advocate - writing strategically to influence the outcomes of the conference. All said, they failed to establish the link between legal sale and poaching!
lakini jamani vutu vingine tunajitakia wenyewe. hebu pata picha kama hii biashara ingekua imehalalishwa haya yote yangekuepo?
hebu imagine pembe za ndovu zingekua zinavunwa kama unavyovuna miti vile, yaani tembo akifika miaka fulani basi auwawe na pembe zake ziuzwe hivi haya matatizo yote yangekuepo? and ontop of that serikali ingekua inapata ushuru,inaongeza ajira ,na exports pia.
I know I may sound ubsurd but just take time and think of the positive side. In some countries these elephats are a big problem,their population is too large for their natural habitat ,so they get out of control,destroy crops, kill people and so on.
I wish the goverment could just legalise this trade/
Hii nchi nawaambiwa kama ccm watarudi madarakani basi tuombe mapinduzi ya kijeshi!
kama china vile...safi sanaunajua kuna haja ya kuwa na ubabe ukituhumiwa unapelekwa pale jangwani unachapwa risasi halafu tunalaumiwa na haki za binadamu then tunomba radhi lakini nchi inaendelea
Kuna Taarifa katika magazeti kadhaa leo kuwa tani kadhaa zenye thamani ya mamilioni ya shilingi yamekamatwa China yakitokea Tanzania (Zanzibar). Je kuna anayeweza kulisemea hili toka katika Wizara ya JK ya Maliasili, Utalii? Au ndio kila mahali hakuna msimamizi?
magazeti gani?kuna taarifa katika magazeti kadhaa leo kuwa tani kadhaa zenye thamani ya mamilioni ya shilingi yamekamatwa china yakitokea tanzania (zanzibar). Je kuna anayeweza kulisemea hili toka katika wizara ya jk ya maliasili, utalii? Au ndio kila mahali hakuna msimamizi?