Tangu mgomo wa madaktari Kikwete ameligawa taifa

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Kuna manung'uniko ya wananchi dhidi ya Mh. Rais kutokana na Mh kuwa busy na safari za nje wakati wanyonge wakiendelea kupoteza maisha akiwa hajali. Mbaya zaidi Mh Rais amelitumbukiza taifa ktk hofu ya magaidi wa alqueda na alshabab kwa kujitolea bila kuombwa kutoa mahakama za Dar es Salaam kuendesha kesi za maharamia wa kisomali. Wananchi wamemshangaa Rais akiwa na juhudi ya kuzima moto kwa jirani wakati hata kwake kuna matatizo makubwa. Punguza safari Mh.
 
Nasikia leo yuko Botswana baada ya kurudi toka uingereza jana!! Huyu jamaa ana akili timamu kweli; lazima ni mgonjwa kwani tabia yake sio ya kawaida!!
 
Wanadamu tupo duniani kwa ajiri ya shughuli zote zinazoanza na K...!!!
Mfano:
1. Kuishi
2. Kuoga
3. Kula
4. Kusali
5. Kucheka
6.
7.
8.
9.........!!!
Etc
 
Maisha yenu watanzania yataendelea kuwa kitendawili hadi mtakapoacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Dhiki na mahangaiko mnayataka wenyewe! Hakuna sababu ya kuilaumu serikali bali wananchi mjilaumu wenyewe. Kumbukeni hiyo serikali haikuingia msituni na kutwaa madaraka! Mlipiga kura kwa ushabiki wenu wenyewe! Ugumu wa maisha unaoendelea kwa sasa ni kwa ridhaa yenu wenyewe! Hayo ndiyo matokeo ya rushwa ya chumvi na vikofia vya kijani. Poleni sana!! Bila mang'amuzi, safari bado ni ndefu!
 
Ametokea London amepita kanchi fulani hivi kanasherehekea Jubilee ya kachama kao mitaa ya kusini...Sikuona tija wala maana yake kuharibu kodi zote kupita kule..Mzee anajitahidi kula bata to the maximum manake 2015 atakuwa na mlolongo wa kesi
 
Mkuu umenena vyema, mgomo Wa madaktari kuanza tena tarehe 3/3 ikiwa serikali haitakuwa na majibu kwa madai ikiwemo huduma bora hasa vitendea kazi

Maisha yenu watanzania yataendelea kuwa kitendawili hadi mtakapoacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Dhiki na mahangaiko mnayataka wenyewe! Hakuna sababu ya kuilaumu serikali bali wananchi mjilaumu wenyewe. Kumbukeni hiyo serikali haikuingia msituni na kutwaa madaraka! Mlipiga kura kwa ushabiki wenu wenyewe! Ugumu wa maisha unaoendelea kwa sasa ni kwa ridhaa yenu wenyewe! Hayo ndiyo matokeo ya rushwa ya chumvi na vikofia vya kijani. Poleni sana!! Bila mang'amuzi, safari bado ni ndefu!
 
Mungu tusaidie sisi watanganyika, kwani hatjui ni lini tutakuwa na maisha ya kiutu!!
 
Kuna manung'uniko ya wananchi dhidi ya Mh. Rais kutokana na Mh kuwa busy na safari za nje wakati wanyonge wakiendelea kupoteza maisha akiwa hajali. Mbaya zaidi Mh Rais amelitumbukiza taifa ktk hofu ya magaidi wa alqueda na alshabab kwa kujitolea bila kuombwa kutoa mahakama za Dar es Salaam kuendesha kesi za maharamia wa kisomali. Wananchi wamemshangaa Rais akiwa na juhudi ya kuzima moto kwa jirani wakati hata kwake kuna matatizo makubwa. Punguza safari Mh.

Nadhani ule usemi wa angalia kibanzi kilicho ktk jicho lako kwanza ameusahau kama siyo kuupuuza
 
Nasikia leo yuko Botswana baada ya kurudi toka uingereza jana!! Huyu jamaa ana akili timamu kweli; lazima ni mgonjwa kwani tabia yake sio ya kawaida!!

Nadhani lile tatizo lililomkumba wakati ule wa kampeni za 2005 pale jangwani + mafisadi aliowakumbatia ndo vinamfanya anakuwa hivyo
 
Maisha yenu watanzania yataendelea kuwa kitendawili hadi mtakapoacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Dhiki na mahangaiko mnayataka wenyewe! Hakuna sababu ya kuilaumu serikali bali wananchi mjilaumu wenyewe. Kumbukeni hiyo serikali haikuingia msituni na kutwaa madaraka! Mlipiga kura kwa ushabiki wenu wenyewe! Ugumu wa maisha unaoendelea kwa sasa ni kwa ridhaa yenu wenyewe! Hayo ndiyo matokeo ya rushwa ya chumvi na vikofia vya kijani. Poleni sana!! Bila mang'amuzi, safari bado ni ndefu!

Mkuu nimekuangushia like ila hatab tume ya uchaguzi nayo imechangia kwakupindisha matokeo ktk majimbo tofauti ikiwemo uraisi
 
Nadhani suluhisho ya haya yote ni sisi kama wananchi kumkataa kwa nguvu zote kwani nadhani ataachia madaraka tu kwani nguvu ya umma ni sauti ya Mungu
 
Kwani hata hiyo 2015 tukipiga kura hii tume ya uchaguzi ambayo ipo chini ya huyu president wetu si WATACHAKACHUA?
 
Uongozi sio rahisi vile ambavyo watu wanafikiria. Kutoa matumaini kwa watu zaidi ya milioni 40, yahitaji umakini mkubwa katika kuanzisha na kutekeleza mipango ya maendeleo. Kusema "Maisha bora kwa kila mtanzania" haimaanishi yatadondoka toka juu, ni mipango madhubuti ambayo utekelezaji wake wahitaji mikakati mbalimbali.

Sielewi mpaka leo nini vipaumbele vya taifa kwa serikali hii zaidi ya kuzuia kwa nguvu zote ustawi wa demokrasia. A right of life has been violated in every election where the opposition seem to be strong. Uzini, hakuna mtu aliyepoteza maisha, tusubiri arumeru.

WAtanzania tunachezewa kwa busara zetu zisizo na maana kwetu.
Ujinga, maradhi, umaskini na sasa ufisadi vitaendelea kutamalaki kwetu kwa vile hata sie wenyewe hatuna sababu ya kuishi (we do not have reason to leave). Kama wabisha, niambieni mipango yenu ya 25 years to come. Only politician ambao wanafikiri kurithiwa na watoto wao ubunge na ukuu wa mikoa ndo wanaweza kufikiria huko. sie wengine ni 3-5 yrs plan. For such a short time, do you think u have a reason to leave?

Kwa hio Rais wetu kutembea kwa majirani zetu, na kwa marafiki wa maendeleo (development partners) ni kwa sababu ni myopic kind of a person.

Atakapojua reason ya kwanini amechaguliwa (sio yeye kuomba kura) atajirekebisha. Give him time..............endure the pain
 
Huyu jamaa angekuwa mwanamke basi angekuwa muda wote anapi........ p.....u maana hajui wajibu wake. Ila watanzania tumezidi ujinga, maana siyo upole. Tuamke watanzania siyo yusubiri chadema au wengine waoneshe hasira zetu. Tumkatae huyu mbwa kibaraka anayekimbia matatizo ya nyumbani kwake, watu wanauwawa yeye anaenda kustarehe jamani hii ni haki, kwa wenzake anakuwa wa kwanza kutoa pole kwake anakimbia watanzania tujilaumu sisi wenyewe.... ahsanteni
 
Niacheni nile maisha mie, kila mbuzi ale kadri ya ulefu wa kambake. Nliwapa tshet, vitambaa, kofia, kanga na ubwabwa ndo staili mpya make nimegundua mnanjaa sn. Waulizeni wenzenu pale igunga na mwanza walivofaidi ubwabwa. Bado meru sjui ntawapelekea nini? Et wameru niwaletee nini?
 
Back
Top Bottom