Tangu lini gazeti la majira mmeanza udaku?

Nashukuru.nilishtushwa sana na gazeti lao la jana.
Waache watapata wanachotafuta

Sio la jana mkuu ni la leo.Wameamua kuandika matusi dhidi ya chadema.Huku wanachama wake wakiomboleza msiba mkubwa
 
Wapendwa wanajf wenzangu nimesikitishwa sana na gazeti la majira kuipa kipaumbele habari ya migogoro ndani ya chadema badala ya kujali ubunadamu zaid kama magazeti mengine na kuipa kipaumbele habar ya kifo cha dada yetu regia mtema.sijajua majira wamefanya ivyo kwa mantiki gani! Mwenyezi mungu awasamehe na ailaze pema roho ya marehemu.

mkuki kwa mchungu kwa nguruwe binadam eeehh!
 
Mwananchi,Tanzania daima,Nipashe,The Guardian,The Citizen na mwanahilisi!ndio magazeti nayopendelea kusoma,sio huo uchafu mwingine

Fikiri vizuri,kwa Mengi nako umbea si haba,R.I.P Regia!
 
Back
Top Bottom