Wapendwa wanajf wenzangu nimesikitishwa sana na gazeti la majira kuipa kipaumbele habari ya migogoro ndani ya chadema badala ya kujali ubunadamu zaid kama magazeti mengine na kuipa kipaumbele habar ya kifo cha dada yetu regia mtema.sijajua majira wamefanya ivyo kwa mantiki gani! Mwenyezi mungu awasamehe na ailaze pema roho ya marehemu.
Mwananchi,Tanzania daima,Nipashe,The Guardian,The Citizen na mwanahilisi!ndio magazeti nayopendelea kusoma,sio huo uchafu mwingine
Wapendwa wanajf wenzangu nimesikitishwa sana na gazeti la majira kuipa kipaumbele habari ya migogoro ndani ya chadema badala ya kujali ubunadamu zaid kama magazeti mengine na kuipa kipaumbele habar ya kifo cha dada yetu regia mtema.sijajua majira wamefanya ivyo kwa mantiki gani! Mwenyezi mungu awasamehe na ailaze pema roho ya marehemu.
Mkuu hata Mtanzania wamebadilika wanaamdika habari za kweli
Wanachochea wanachoita mvutano wa kugombea madaraka.Hiyo ni habari maalum iliyopikwa na magamba kwa malengo maalum.
Wapendwa wanajf wenzangu nimesikitishwa sana na gazeti la majira kuipa kipaumbele habari ya migogoro ndani ya chadema badala ya kujali ubunadamu zaid kama magazeti mengine na kuipa kipaumbele habar ya kifo cha dada yetu regia mtema.sijajua majira wamefanya ivyo kwa mantiki gani! Mwenyezi mungu awasamehe na ailaze pema roho ya marehemu.
Mpaka habar iwapendeze wapenz wa cdm?
Siku nyingine uwe unaweka link au kuweka habari hiyo hapa kwani sio wote wananunua majira.
OTIS