Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Kumbe wanakusanya maoni, nilikuja kasi nikidhani watu wanatoa facts.

:p:pMkuu Watapata wapi facts...ukweli utabaki pale pale,wanajua yupi mkali wa soka ila hawataki kusema tu, maradona na messi kitu ingine hakuna wakuwakamata wafalme hawa
 
tatizo letu tuna comment kimizuka mizuka nendeni YouTube mukacheki za pelle na maradona kila mtu atapata jibu musisahau kumwangalia mchawi wa Africa okocha alafu murudi hapa wengi wana comments kwa kuadisiwa
 
Mkuu kwa mujibu wa Mess amekiri katika wote ni Ronaldinho pekee ambaye hafananishwi Na yeyote,,,binafsi Messi ni weka mbali Na watoto japo CR7 nampenda,,,

Weka audio ama video tumsikie wadau wake humu kama ni kweli kaongea maneno hayo the KING,,,,,, na kama nikweli kazungumza basi ni mtu swafi mno asiyekuwa na wivu kwa mchezaji yeyote yule na si kwa gaucho pekee,, in-short MESSI HANA WIVU

vile vile kujiweka wa chini mbona ni kitu cha kawaida sana tu kwake same MARADONA!

Pia Isiwe ndiyo kigezo kwenu cha yeye kuongea maneno hayo nanyi mkaamini kuwa ni kweli gaucho bora zaidi yake...hahaaa atasubiri sanaa,,maana hata level ya zidane bado hajafikia..iweje awapite wakubwa zake D10S & LEO10S? :Dni kuwakosea heshima wafalme hawa
 
Ningekutumia ila hujui kispanish,,,
 
Bob Marley mwenyewe alikua anajua hakuna kama PELE btw mi namkubali sana ronaldino gaucho dah! yani hakika huyu ni nabii ama mtume wa soka!...
 
Asiye wakubali Diego Maradona na Messi huwenda atakuwa FYATU, apelekwe haraka milembe
 
Bob Marley mwenyewe alikua anajua hakuna kama PELE btw mi namkubali sana ronaldino gaucho dah! yani hakika huyu ni nabii ama mtume wa soka!...

Mleta uzi kafafanua vizuri mno! Tatizo letu waaflika tunaangalia rangi ya mtu na utaifa wake, hii kitu mbaya sana inatuponza...

sasa wewe kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Maradona,mfalme wa soka,hata pele katupiliwa mbali?

Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Messi,mfalme wa soka?

Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Zidane?

Watanzania tunaongea mno without facts...kwakuwa bob marley kaongea na wewe ukaamini sindio?

Why Maradona and Messi wameshika no 1 ktk best Players in the world alaf Gaucho yupo wa 31 na still siku zinavyozidi kuloloma anaendelea kudrop? Usipende kuhadithiwa hakikisha mwenyewe......

Mkuu MDEGEREKO katoa ushauri smart yakuwa msipende kuhadithiwa nendeni youtube mkajionee wenyewe mtapata jibu.....
 
Mleta uzi kafafanua vizuri mno! Tatizo letu waaflika tunaangalia rangi ya mtu na utaifa wake, hii kitu mbaya sana inatuponza...

sasa wewe kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Maradona,mfalme wa soka,hata pele katupiliwa mbali?

Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Messi,mfalme wa soka?

Kwa akili yako tu ya kuzaliwa unaamini Gaucho kamzidi Zidane?

Watanzania tunaongea mno without facts...kwakuwa bob marley kao
why unalazimisha jibu lako tu kuwa sahihi kila aliyetoa jibu ana sababu zake chakushangaza unaongelea rangi na utaifa wakati sikuzungumzia hayo
haya basi wabrazil wanajua mpira kuliko taifa lolote hapa duniani kutokana na mimi nionavyo.
 
Kama hukuwahi kumuona 'Garrincha' tafuta video zake, aliichezea real madrid kwa muda mrefu sana. Kama hukumuona Gaucho pia tafuta highlights zake. Isitoshe mpira wa kipindi hicho ulikua una ladha na watu wanafunga ktk mazingira magumu kuliko sasa hivyo ilikua inanogesha zaidi. Mf; ni goli la mkono la Maradona. Sasa iv sheria ni nyingi, kuna video(reviews), referees hadi nyuma ya goli, mpira ukigusa chaki kuna 'sensor' golini. Messi wa kawaida sana, kwa mawazo yangu hajafika hata kiwango cha Okocha, Lkn tusitumie nguvu nyingi kukuaminisha usichokifahamu pengine huwajui watu hao!!!

Wewe c international fan ...endelea kufatilia ligi zetu
 
Mawazo ya kitoto hayo....untaka kutuaminisha brazil wanajua mpira kuliko taifa lolote duniani? Isije ikawa nabishana na wa nursery school?

Kubali tu hujui maana ya football ni nini...

Nikikuomba ushahidi about gaucho kama ni true kawazidi wafalme hawa ninaamini hutoleta huu ndiyo ukweli...except utaendelea kuyoyoma tu na kuumia zaidi unapoona KING kiwango kinazidi kupanda....

Pia huyo babu yako mwenye wivu na chuki dhidi ya Argentina players ambao ndiyo kizazi bora duniani, hata ukiangalia south american leagues number one Argentina, best team Argentina, best players in europe, South American and all worldwide wanatoka Argentina...so hapendezewi kuona best player from Argentina roho inamuuma sana huyu babu, na anaendelea kuumia zaidi anapomuona King anazidi kung'ara.
 
Mtu mwenye chuki kwa mwenzake siku zote hasongi mbele atabaki palepale..na anazidi kuumia tu.

Maradona na messi wakuigwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom