Tangia Jussa amtukane Sita...

nahavache

JF-Expert Member
Apr 3, 2009
871
246
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la kuongeza eneo la kiuchumi (EEZ) UN, ashaanza maneno tayari. Yeye kwa vile chama chake kinashiriki katika serekali, angeweza kupata majibu serekalini. Huyu jamaa anatafuta umaarufu, lakini anaweza akalitumbukiza taifa kwenye balaa.
 
Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma
 
Jusa ni Juha tu, hilo twalijua, anajaribu kutafuta umashuhuri kwa kuingilia mambo ya watu. :alien: puuuuuuuuuuuuuuu, dead.......
 
yule jussa ni lugha tu inayomfanya tumwone 'mwenzetu'. Anaongea kiswahili vizuri kweli
 
Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma


kwahiyo ni Mwarabu koko

28227_125532397480789_100000720881840_166262_8301001_n.jpg
 
Si wa kuogopa hata kidogo. Hatishi. kwani hawashi wala hazimi. Ni limbukeni tu mwenye kutawaliwa na jazba. Hupenda sana kukurupuka na ni "loud speaker" wa viongozi fulani maarufu (calibre ya kina Raza). Jussa hana muelekeo hana busara na hajui kuzungumza.
 
Huo muungano mnaoung'ang'ania ndio chanzo cha maneno yote hayo.
Acha muungano uwatie presha hadi wenyewe mchanganyikiwe.
 
Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma
Jussa ana asili ya kihindi,lakini yeye na wazee wake wawili ni wazaliwa wa zanzibar sio kama wewe mzaliwa wa tanganyika lakini wazee wako wakongo. Nani mzalendo wa nchi yake ?
 
Naaam na Raza kapata kiti cha baraza la Wawakilishi toka Uzini, mnamkumbuka enzi za Salmin? alivyokuwa anaitukana Tanzania? kisha yeye mwenyewe kakimbilia bara baada ya kubanwa na serikali ya Karume.
Jussa ataungana na kina Mansour Humoud na Raza au Cuf wengine watimize nia (hata kama wako CCM kikazi kama Waziri Mansour Humoud shemejie Amani Karume, nia yao ya Zanzibar kurudi Arabuni itakamilik,
Si wa kuogopa hata kidogo. Hatishi. kwani hawashi wala hazimi. Ni limbukeni tu mwenye kutawaliwa na jazba. Hupenda sana kukurupuka na ni "loud speaker" wa viongozi fulani maarufu (calibre ya kina Raza). Jussa hana muelekeo hana busara na hajui kuzungumza.
 
..Jussa aliteuliwa na JK kuwa mbunge ktk bunge la muungano lakini hatukumsikia akijenga hoja yoyote ile inayohusu muungano.

..CUF tayari wana rasimu ya katiba ya jamhuri ambayo waliiwasilisha serikalini ambapo wanapendekeza kuwe na muungano wa serikali 3. katika rasimu hiyo ya CUF lipo pendekezo la serikali za Tanganyika na Zanzibar kuongozwa na magavana!! sasa ina maana Jussa hakubaliani na rasimu ya katiba iliyopendekezwa na CUF???

..mimi nadhani viongozi wa CUF wakiwa kwenye majukwaa wanatamka yale ambayo wanachama wao wanataka kusikia, lakini wakifika kwenye vikao vya maamuzi wanatenda kinyume na matamko yao.

..Mfano mzuri hapa ni suala la Zanzibar kuwa na benki kuu yake, pamoja na sarafu yake. Wakati wa kampeni za uchaguzi Maalim Seif alisema hataanzisha utaratibu huo, lakini baada ya mgogoro wake na Hamad Rashid, Maalim ameibuka na madai ya Zanzibar kuwa na benki kuu pamoja na sarafu!!!!
 
anadhani maneno yake yatakijenga chama kwa upande wa bara. jussa ni aina ya viongozi wanaoendekeza siasa za maji taka.
 
Maalim aliahidi kuunganisha Sauti ya Tanzania Zanzibar na TVZ kuwa Shirika moja la utangazaji, na imekuwa.
Maalim amesema sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa rais wa Jamhuri na nionavo mie mheshimiwa Jussa atateuliwa tu mpo!!!!!!!!!!!!!!!
 
anadhani maneno yake yatakijenga chama kwa upande wa bara. jussa ni aina ya viongozi wanaoendekeza siasa za maji taka.

Jussa atabaki kuwadanganya wazenji wenzake na kuwatisha wazenji wenzake.

Mini simuoni kama ana tisho lolote zaidi ya kuropoka ropoka ili asikike. Mtu mwenye akili timamu ambaye chama chake kinashiriki kuunda serikali hawezi kuwa anabwabwaja kama anavyofanya jussa.
 
Back
Top Bottom