tangazo

...nisindikize mwaya.....kiumbe hakishikiki hiki....bila limbwata itakuwa ngumu....asante kwa moyo wa agape
Unakaribishwa, na ukitaka unaweza kubakia hukuhuku unakokaribishwa ili usihangaike kwenda kwa mganga...:smile-big:
baolojia za tembo na pundamilia zipo poa huko?
 
Unakaribishwa, na ukitaka unaweza kubakia hukuhuku unakokaribishwa ili usihangaike kwenda kwa mganga...:smile-big:
baolojia za tembo na pundamilia zipo poa huko?

wanaendelea vizuri....tumefanyia tohara tembo sita juzi....ila nyanyi wanazaliana sana....natumaini mazao ya nyanyi yataongezeka mwaka huu...
 
Sumbawanga sehemu gani? Maana kizwite hayupo, chanji hola, kantalamba utawapakazia, Jangwani kwa wajanja tu,mazwi wako bize kuuza vijumba vya zamani,izia wanajipanga kupambana na wachina watengeneza barabara,majengo cjamwona,sumbawanga wenyeji na eden kimya. Akiwa mollo,malonje, tamasenga,ntendo...ni nje mno ya mji. Nimefika chipu kuna watengeneza radi2. Au ni wale wa pale magomeni?!!?
 
kaka uko deep!
 
mmh dawa yenyewe inawekwa sehemu za siri na inasukumwa na.................. yake
 
Naogopa kunasa kwa Sangoma.Kama ni hips hata wachina wanauza K/koo,nitamnunulia wa kwangu ila kwa sangoma hapana.
 
Hivi ni kwanini waganga wengi wa kienyeji asilimia kubwa utasikia katokea Sumbawanga?
 
Preta nakupa tahadhari mapemaaaaa! hawa waganga wa siku hizi wanaweka dawa kwenye class mamalia yako kwa kutumia baolojia yake.......anaipaka dawa baolojia, then anakwambia leta class mamalia niingize hii dawa.:smile-big:

Do profession nyingine wanafaidi, wapi wanasomea uganga wa chenyeji nikachukue digrii yake fasta!
 
nisindikize basi mpenzi....naogopa mganga asije akaniambia mambo yake ya tabia mbaya

Dah...!!! Sijui nilikuwa wapi jana mpaka sikuiona hii usiful post,Klolokwini upooooooooooo................
Ama kweli utakatifu una raha zake...

The Following User Says Thank You to Preta Ten Times For This Useful Post:

St. Paka Mweusi (Today)​

Kumbe hatuna haja na wachina? Halafu nimegundua kuwa % karibu 90 ya matangazo kama haya ni ya watu wa sumbawanga. Huo mkoa wao kiboko
 
Dah!!! Huyo mwanamke aliyechorwa mwenye hips ndio style ya watu kuwavutia wateja ili waende
 
Back
Top Bottom