Tangazo toka Loan Board (HESLB)

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are missing some vital information. Therefore the Board would like to inform these students that such incomplete applications will not be considered.

Loan applicants from this group shall be required to come to the Board to collect their incomplete forms, go, update and return them to the Board. No loan shall be allocated to such student before returning the updated application form. Applicants who have not signed their documents are required to report to HESLB offices at Tirdo Complex, Kimweri Road, Msasani- Dar es Salaam for further details.

Applicants who have not attached (to their application forms) guarantor’s particulars such as photocopy of Passport or voter’s registration card or passport size photograph should send the missing particulars to the Board with a covering letter indicating their full names and form four index numbers through the following address:

The Executive Director
Higher Education Students’ Loans Board
P. O. Box 76068
DAR ES SALAAM.
N:B:
The Board is providing a period of two weeks starting 15th August, 2012 to correct the shortcomings.
All documents must be certified by a Commissioner of Oaths.
 
Mm nilituma kitambulisho changu maana form zakwanza zabodi yamikopo hazikufafanua vizuri kama ni kitambulisho chamdhamini nakwenye list simo apo inakuaje?
 
Dah, kweli mkuu, hata me nilituma changu coz hawakuwa specific, kwasababu kunasehemu walisema 2andike number ya kitambulisho cha mdhamini, sasa km 2liandika no ya kitambulisho chake kulikuwa na haja gani ya kuambatanisha na kitambulisho chake? Dat'z y wengi wakajua cha kuambatanisha ni kitambulisho chako binafsi. Sasa cjui itakuaje coz kwenye ile list ya majina waliyoyatoa cpo!
 
Kama kuna reference yoyote ulinukuu na ama kuijaza kwenye zile form ni muhimu ukai~certify sasa (tena leo) na uiwasilishe loan board wewe.
 
naomba kwa anaye fahamu matokeo ya heslb ya walio pata mikopo na asilimia zao yanatoka mmwezi wa ngapi na tunayaona wapi?
 
vp kuhusiana na fucty ze2 walizotuandikia non priority ndo ha2pati kabisa au kunauwezekano wa kufikiriwa kidogo? cory mwenye ujuzi na hili anijuze
 
Jaman mm kuna sehemu ckuweka sahih kwenye 4m ya loan board na jina langu cjaliona itakuaje hapo wadau naomba msaada kdg.
 
Jaman mm kuna sehemu ckuweka sahih kwenye 4m ya loan board na jina langu cjaliona itakuaje hapo wadau naomba msaada kdg.

Omba sana rehema za mungu jomba wasione hiyo sehemu ambayo haukuweka sign coz huwa wanatafuta sababu ndogo ndogo za kukunyima huo mkopo...na wakipata hawakuvungii
 
Omba sana rehema za mungu jomba wasione hiyo sehemu ambayo haukuweka sign coz huwa wanatafuta sababu ndogo ndogo za kukunyima huo mkopo...na wakipata hawakuvungii

daaah poa jembe maana nakosa raha sana bt Mungu ni muweza wa yote ngoja 2one itakuaje.
 
Jamani wanatoa lini majina ya walipata mikopo ili na mimi nilie mkoani nijue kama nimepata au la!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom