Tangazo! Tangazo! Tangazo.

Nimefuatilia majibu yako mwanzo mpaka mwisho nataka nikulize swali jingine kwako wewe kama unataka kazi lakini unaogopa kumkufuru mungu kwanini usiache kutafuta kazi badala yake uwe mchangaji au padri ili uweze kumtumikia mungu kwa ukaribu zaidi.

Mkuu mbona unauliza irrelevant questions...
Mtu yoyote anapaswa kumwabudu Mungu haijalishi nafasi yake kanisani au msikitini.Hivyo suala la kutomkufuru Mungu ni lazima na wala sio wajibu au hiari.
Mungu yupo kila mahali hivyo huweza tumikiwa mahali popote.
 
Nimefuatilia majibu yako mwanzo mpaka mwisho nataka nikulize swali jingine kwako wewe kama unataka kazi lakini unaogopa kumkufuru mungu kwanini usiache kutafuta kazi badala yake uwe mchangaji au padri ili uweze kumtumikia mungu kwa ukaribu zaidi.

imeandikwa '...asiyefanya kazi na asile...'
 
Returning violence for violence multiplies violence,adding deeper darkness to a night already devoid of stars... Hate cannot drive out of hate:eek:nly love can do that.
 
Hivi akitokea mwendawazimu ambaye anaajiri mashoga tu na kuwalipa mishahara ya kupaa vijana wangapi wabongo watasalimikag? Tumeona wameanza na akina dada, wanaume standby
 
Nahisi hii kampuni naifahamu na mmiliki namfahamu ana hoteli pia ya kisasa, dizaina ya vi apartments
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom