Tangazo,tanganzo,tangazoooo!!!

Wadau kwa taarifa yenu ummu kulthum ndiye mchumba wangu mtarajiwa na kama alivyosema mwenyewe mimi na mdogo wangu Young_Master ndio wadhamini wa huu mtanange.

Ni muhimu kukumbuka vionjo alivyovisema bibie kwa umakini mkubwa. Kumbuka pia lazima mzingatie kuwa avatar iwe pia na vionjo vitakavyonifanya nihisi kwamba kweli nimepata mtoto mashalaah.

Tahadhari: Huu si ukumbi wa kutongozana wala kupeana promise. Lete maoni yako au avatar.

Here we go!

Wakatabahu platozoom
JF FOUNDER

We Platozoom mbona maelezo meengi!? unajihami nini mkuu,subiri tuje na vitu,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom