Tangazo: Shamba/Kiwanja kinauzwa eneo la Mbezi Salasala

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Poleni na hekaheka za msiba na sherehe ya Pasaka.

Natumai wengi tutakuwa na afya njema.

Nina shamba au waweza kuliita kiwanja kulingana na utakavyotaka kulitumia. Lina ukubwa wa hekari 2 na nusu kulingana na vipimo vya serikali ya mtaa ( ambazo ni sawa na mita za mraba 11,025/kwa kingereza ni 11,025square metres). Eneo lenyewe lipo umbali wa mita 150 kutoka barabara kuu ya kuelekea Tegeta (nyuma kidogo ya sheli ya Oilcom yenye duka la Zizou), lina hati ya umiliki ya serikali ya mtaa (halijawahi kupimwa na wizara wala kuendelezwa kwa shughuli yoyote). Eneo hili linauzwa kwa Tshs. 1.7 Billion (Tshs. 1,700,000,000/= mazungumzo yanasikilizwa). Kwa anaehitaji kuliona/kulikagua anaweza kupiga cmu (0715555512 au 0787111123) au akatuma PM.

NB: HAKUNA DALALI, UNAFANYA BIASHARA NA MMILIKI.

Nashukuru kwa kusoma tangazo, karibu tufanye biashara.
 
Nina shamba au waweza kuliita kiwanja kulingana na utakavyotaka kulitumia. Lina ukubwa wa hekari 2 na nusu (mita za mraba 11,025/kwa kingereza ni 11,025square metres). Eneo lenyewe lipo umbali wa mita 150 kutoka barabara kuu ya kuelekea Tegeta (nyuma kidogo ya sheli ya Oilcom yenye duka la Zizou), lina hati ya umiliki ya serikali ya mtaa (halijawahi kupimwa wala kuendelezwa). Eneo hili linauzwa kwa Tshs. 1.7 Billion (Tshs. 1,700,000,000/= mazungumzo yanasikilizwa). Kwa anaehitaji kuliona/kulikagua anaweza kupiga cmu (0715555512 au 0787111123) au akatuma PM.

NB: HAKUNA DALALI, UNAFANYA BIASHARA NA MMILIKI.

Nashukuru kwa kusoma tangazo, karibu tufanye biashara.

contradiction on the highlighted parts, clarifications please, price is very reasonable, unaweza kuongeza kidogo pia
 
Hivi hizo bei mnazitoa wapi? Kiwanja tena pori halijapimwa na wala sio heka mbili unauza 1.7B? Aisee imbombo ngafu hapo labda labda mil70 tu.
 
Concerning the first highlighted phrase, it means: 1 acre = 63metres * 70metres which is 4410Sq metres times 2.5 which results to the foresaid measurements.

On the second highlight it means that; the owner bought the place through the street authority, he has not gone for further procedures such as applying for the title deed and ministry's measurements which can result into smaller portioned plots of less measurement. I hope it is clear!
 
Hivi hizo bei mnazitoa wapi? Kiwanja tena pori halijapimwa na wala sio heka mbili unauza 1.7B? Aisee imbombo ngafu hapo labda labda mil70 tu.

Bei ni elekezi kulingana na soko lilivyo, maoni yako yanaheshimiwa, hy 70m yako njoo tukukatie 20m * 20m itakutosha kulingana na pesa yako. Karibu sn!
 
iyo one billion point seven, nitajenga loji kama kumi hivi mkoani, zitakazo kuwa zinaniingizia laki mbili kila siku times ten you get 2m everyday. you are not serious.
 
We mwenyewe umeshasema mikoani, hili eneo tunaongelea MBEZI SALASALA. We nenda mikoani kajenge lodge, waache wa Dar waje na 1.7B zao. Nipo serious ndio maana nimeweka tangazo.
 
yaani unauza square meter moja kwa TZS 154,175 .... a land that is not developed ... this is crazy ... please check out market price from land valuers
 
Poleni na hekaheka za msiba na sherehe ya Pasaka.

Natumai wengi tutakuwa na afya njema.

Nina shamba au waweza kuliita kiwanja kulingana na utakavyotaka kulitumia. Lina ukubwa wa hekari 2 na nusu kulingana na vipimo vya serikali ya mtaa ( ambazo ni sawa na mita za mraba 11,025/kwa kingereza ni 11,025square metres). Eneo lenyewe lipo umbali wa mita 150 kutoka barabara kuu ya kuelekea Tegeta (nyuma kidogo ya sheli ya Oilcom yenye duka la Zizou), lina hati ya umiliki ya serikali ya mtaa (halijawahi kupimwa na wizara wala kuendelezwa kwa shughuli yoyote). Eneo hili linauzwa kwa Tshs. 1.7 Billion (Tshs. 1,700,000,000/= mazungumzo yanasikilizwa). Kwa anaehitaji kuliona/kulikagua anaweza kupiga cmu (0715555512 au 0787111123) au akatuma PM.

NB: HAKUNA DALALI, UNAFANYA BIASHARA NA MMILIKI.

Nashukuru kwa kusoma tangazo, karibu tufanye biashara.

Kwa jinsi ninavyopata pesaa yangu kwa kujituma, sidhani 1.7b ni manunuizi thabiti au matumizi sahihi ya pesa. 1.7b ni kama dola laki tisa hv. Hapo nadhani nikienda orange county pale santa barbra LA naweza nunua mantion yenye swimming pool, na huiduma za kijamii halali na zisizo na mawazo kama tanesco na dawasco. Mi ntaendelea kukaa tz nikila rent ya dola elfu 50 kwa mwaka kutoka kwa letting agent bila wasi wasi.
Sasa hawa raia wa kitz wanapata wapi hela za kununua mapori yasiyo hata na green garnet chini kwa 1.7b???? Ama kweli exposure muhim. Halaf mtu akishanunui anajenga nyumba yake ya kuishi anapark vx v8 nje. Mwisho wa mwezi majambazi wanamvamia. Wanaua mke na watoto anachanganyikiwa!!

Well this might be taken as a very negative side of me. But seriously, where is 1.7b? Nadhani kuna watu wana hela kuliko serekali humu.
 
yaani unauza square meter moja kwa TZS 154,175 .... a land that is not developed ... this is crazy ... please check out market price from land valuers

That's what's up Lat, u need it check on me, u don't just keep calm n' see 4 urself how people use money. U r welcom!
 
AWEZEKANA NA UMEFILISIKA. HUWEZI KUUZA KIWANJA SAMBAMBA NA GARI LAKO. HALI INAONEKANA SI HSWARI KWAKO HATA KIDOGO. POLE SANA KAMA SPECULATION ZANGU ZIKO SAWA. Umeanzisha uzi huu pia bofya chini hapo

https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/248509-tangazo-gari-inauzwa.html

Ntamaholo, upo sahihi, nauza kiwanja kwa sababu nahitaji mtaji wa kufanyia biashara na nikiwa nimeshamaliza kakibanda kangu ambako ntahamia hv karibuni. Gari nauza kwa sbb nimenunua nyingine na sihitaji kuwa nazo mbili kwa pamoja. Unahitaji kiwanja au gari?
 
Kwa jinsi ninavyopata pesaa yangu kwa kujituma, sidhani 1.7b ni manunuizi thabiti au matumizi sahihi ya pesa. 1.7b ni kama dola laki tisa hv. Hapo nadhani nikienda orange county pale santa barbra LA naweza nunua mantion yenye swimming pool, na huiduma za kijamii halali na zisizo na mawazo kama tanesco na dawasco. Mi ntaendelea kukaa tz nikila rent ya dola elfu 50 kwa mwaka kutoka kwa letting agent bila wasi wasi.
Sasa hawa raia wa kitz wanapata wapi hela za kununua mapori yasiyo hata na green garnet chini kwa 1.7b???? Ama kweli exposure muhim. Halaf mtu akishanunui anajenga nyumba yake ya kuishi anapark vx v8 nje. Mwisho wa mwezi majambazi wanamvamia. Wanaua mke na watoto anachanganyikiwa!!

Well this might be taken as a very negative side of me. But seriously, where is 1.7b? Nadhani kuna watu wana hela kuliko serekali humu.

Umeuliza swali, umeshangaa au unataka ufafanuzi!?

We nenda LA ya bongo huyawezi!
 
siku hizi pesa ngumu sana hata viwanja vimeshuka bei hamna wanunuzi. M100 nikuletee unipe hicho kiwanja.
 
Duh...Tanzania ni balaa! Viwanja 'havishikiki' sasa hivi.

Btw, I like your avatar:
avatar18045_2.gif
 
Sijasikia hata mnunuzi mmoja, najua bado hawajaamka. Waosha vinywa na maswali yenu mbofumbofu pia msichoke kuja kutafuta umaarufu. Karibuni wote!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom