Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
Wale wenye interest kabala hawajalizwa $300 wafanye karesearch kadogo kutafuta ukweli wa hii deal, wako watu wamelizwa kwa mchezo huo wa kutumiwa waraka usio na kichwa wala miguu hujui umetoka kwa nani na unaishia na Your friend.. what is in it for them!!?? Uzuri wote mnaonekana hamko tayari kutoa hiyo dola 300 kabla ya kazi hivyo kama ni 'wanigeria' itabidi waje na mbinu nyingine.

Kama wanania ya kusaidia maskini walete jina la hiyo Agency, address, site yao, jina la CEO au owner mkishapata hivyo anzieni google, na malizieni kucheki na ubalozi wao. Kama ni kusaidia maskini mbona kwao wako wengi tu including mahomelss ambao wanahitaji msaada zaidi yetu at least sie tunaweza kula na kulala kwa mjomba. Jiulize kama wana uwezo wa kulipia tiketi, visa na kadhalika hizi dola 300 ni za nini? Mjini hapa.
 
Mkuu FMES, ahsante sana kwa kushare info hii.

Kwanza kabisa kutokana na uchumi wa dunia kuanguka vibaya zikiwamo nchi za magharibi kuathirika sana na kusababisha unemployment kubwa katika nchi mbali mbali za magharibi, je hii ya kuwatafutia kazi wananchi wa nchi nyingine duniani katika nchi za magharibi wakati wananchi wengi wa nchi za magharibi hawana ajira litakubalika na Serikali zao?

Pili, kama Mtanzania hakuridhika na kazi atakayopatiwa je, atarudishiwa pesa zake zote alizolipa ($300)? Na nauli ya kumtoa Mtanzania Bongo mpaka katika mojawapo ya hizi nchi za magharibi itagharimiwa na nani? Mtanzania mwenyewe au hiyo Agency?

Mimi nauliza tu ili kulinda maslahi ya Watanzania wenzetu wasije wakauvaa mkenge na sihitaji kuweka jina langu.

Once again thanks a lot for sharing this info.

Always with regards.
 
Wakuu kule Nigeria kuna kitu kinaitwa section 419..sijui kama mmeshawahi kukisikia?
 
-....sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi...

Kampuni inafanya kazi na Immigration Office sasa hao mabalozi mnawaogopea nini???
 
Hii ni barua toka kwa huyu mshikaji wangu, nimeipunguza punguza info muhimu, nafikiri utaelewa sababu otherwise yote yapo hapa chini:-




Hiyo inaweza kuwa scam. Ingekuwa vyema ukaweka contacts za huyo rafiki yako hapa ili wenye kutaka kuwasiliana nae wafanye hivyo direct.

Naogopa biashara yenye mtu wa kati na kupigiwa mapande mapande.
 
- Ni kawaida ya mtu aliyeshiba, huwa hakumbuki wengine wenye njaaa na huwa haelewi kwamba anaweza kurudi kwenye njaa wakati wowote.

- Nidvyo tulivyo ingawa sio wote tulioumbwa hivyo, mkuu SHY nimeshakupitishia najua wewe ni IT sasa kama kuna mushkeli anywhere kama tulivyoongea nifahamishe, nitamfikishia huyu sister.

Respect.

FMEs!

sikujibu ili kuwabania watu wengine,nimejibu ili kuwatahadharisha,if that upsets you then i have no answers to that.
i was raised in strong ethics to value others and help them whenever i can,so this njaa thing is just another thing i wont agree with.kuwa na njaa haku-justify mtu kutumia shortcut kufika kwenye shibe.we all know the counter-effects of this!

my advice to YOU.if that is a legit workng opportunity or even if it is a lottery then please put every information here.Africa is failed by lack of transparency.here at JF we always put light to darker things from our leaders why not start by being clean ourselves.

experiences shows people who have something to hide in things like these,they do that for their own benefits.

sijawahi sikia nafasi ya kazi iombayo pesa before!i have worked for long enough majuu.whenever money is asked before a job opportunity,then that turns out as a SCAM.spend sometime googling about those SCAM.

have you ever heard about Hacking?there are people who take over others computers and turn them into "Zombies".sending out lots of emails to his/her important contacts asking for sweet and rosey things.so,if that mdadaa of your really sent you that email.give her a phone-call.ask her in person for the details of the "deal".and if she insists on email exchanges then stay away!probably your "friend" has turned Rogue.

and more ask her to come here and answer to our concerns.maana we dont like to put you in the corner for something you are just delegating.Messenger Hauwawi.

akikataa yote hayo kwa sababu ya "privacy".mwambie yafuatayo.watanzania tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kuwa transparent.and there is nothing to hide about his/her plan if it is genuine.since publicizing it will only help them to get more qualified people.

and again remember you have no idea who is behind any of writings in the internet.

it is called cyber-security and multi billion dollar industry that wouldn't exist if it were for no good reasons.
 
- Wakuu look here nimesema ya kutosha, nimeweka info za kutosha between Jumatatu ambapo huyu sister aliponiandikia hii barua nimewafahamisha washikaji wangu hasa mabaharia ambao wamekwama na maisha bongo, tayari wameshaanza kufungua E-mail na kujaza fomu za hii charity zinazohusu huo msaada,

- Muda wa kuendelea kubishana hapa sina, Dola mia tatu ni hela ndogo sana kwamba ninaweza kukosa hata objectivity na kupiga piga kelele as if nitaibiwa maisha kwa kuzitoa kumsaidia M-Tanzania mwenzangu mwenye shida, dada aliyeniandikia ni rafiki yangu anamalizia PHD yake through hili shirika, na anafanya kazi ndani ya hili shirika, anatoka kwenye familia yenye uwezo hana sababu ya kuniibia mimi mwafrika masikini dola zangu 300, na za Wa-Africa wenzangu wengine, now unaongea as if ni wewe tu unayeijua dunia wengine wote hatuijui, as if wewe tu ndiye mwenye akili wengine wote hatuna,

- Kusaidia wengine kwenye maisha ni tabia ya kuzaliwa nayo sio ya kuiga, wala kujifunzia huku JF, katika maisha yangu nimepoteza hela nyingi sana katika kuwasaidia watu ninaowajua na nisiowajua, na sijawahi kuacha kusaidia, wazungu wanasema mind ni kama parachute isipofunguka na kuwa open haiwezi kufunction as intended na its creator, kuna wenye shida tayari wameshanitafuta pembeni na nimewapa details zote za what to do, you are making a big deal out of nothing na kitu wala hakihusiki, ni nani aliyekuambia utume dola 300 kwa Wanigeria?

- Ninasema hivi ninamuaminia sana huyu rafiki wangu aliyeko huko ndani ya hili shirika, kwamba wewe ukipoteza hizo dola mia tatu, naomba unitafute na evidence nitakutafutia nikurudishie, halafu jaribu tena kusoma info nilizoweka tayari, ni kwamba huu mradi ni kwa maskini sio any of you mlioko humu, mimi nilidhani tuna ndugu na marafiki wanaohitaji hii misaaada kama hii, SHY ni bingwa IT nimempatia hiyo barua yote aifuatilie na alete majibu kama hii ishu ni utapeli, kwa hiyo ningewaomba tu mumsubirie, siwezi kuweka info zote hapa kwa sababu nisingependa ku-jeopardize msaada kwa washikaji zangu waliojitokeza tayari kufuatilia hii deal.

Otherwise, mimi ninaendelea kujaribu kuwasaidia baadhi ya ndugu na marafiki, nikiweza kumsaidia hata mmoja tu Mungu ashukuriwe! you guys can keep on going on and on na doing nothing, hivi humu ndani nani mtoto mdogo anahitaji kufundishwa athari za utapeli?

Respect and Out, ila jaribuni kutafuta amani katika maisha japo kidogo tu ndugu zangu, maana haya maelezo mengi huko juu ni very troubling kwa watu wenye exposure ya majuu! na hasa maisha kwa ujumla.

FMEs!
 
Mkuu una maslahi gani na hii deal? maana naona unaikomalia sana,kama una nia ya kuwa saidia watu na watu wenyewe wana kuonyesha hawaitaji msaada wako achana nao.
 
- Wakuu look here nimesema ya kutosha, nimeweka info za kutosha between Jumatatu ambapo huyu sister aliponiandikia hii barua nimewafahamisha washikaji wangu hasa mabaharia ambao wamekwama na maisha bongo, tayari wameshaanza kufungua E-mail na kujaza fomu za hii charity zinazohusu huo msaada,

- Muda wa kuendelea kubishana hapa sina, Dola mia tatu ni hela ndogo sana kwamba ninaweza kukosa hata objectivity na kupiga piga kelele as if nitaibiwa maisha kwa kuzitoa kumsaidia M-Tanzania mwenzangu mwenye shida, dada aliyeniandikia ni rafiki yangu anamalizia PHD yake through hili shirika, na anafanya kazi ndani ya hili shirika, anatoka kwenye familia yenye uwezo hana sababu ya kuniibia mimi mwafrika masikini dola zangu 300, na za Wa-Africa wenzangu wengine, now unaongea as if ni wewe tu unayeijua dunia wengine wote hatuijui, as if wewe tu ndiye mwenye akili wengine wote hatuna,

- Kusaidia wengine kwenye maisha ni tabia ya kuzaliwa nayo sio ya kuiga, wala kujifunzia huku JF, katika maisha yangu nimepoteza hela nyingi sana katika kuwasaidia watu ninaowajua na nisiowajua, na sijawahi kuacha kusaidia, wazungu wanasema mind ni kama parachute isipofunguka na kuwa open haiwezi kufunction as intended na its creator, kuna wenye shida tayari wameshanitafuta pembeni na nimewapa details zote za what to do, you are making a big deal out of nothing na kitu wala hakihusiki, ni nani aliyekuambia utume dola 300 kwa Wanigeria?

- Ninasema hivi ninamuaminia sana huyu rafiki wangu aliyeko huko ndani ya hili shirika, kwamba wewe ukipoteza hizo dola mia tatu, naomba unitafute na evidence nitakutafutia nikurudishie, halafu jaribu tena kusoma info nilizoweka tayari, ni kwamba huu mradi ni kwa maskini sio any of you mlioko humu, mimi nilidhani tuna ndugu na marafiki wanaohitaji hii misaaada kama hii, SHY ni bingwa IT nimempatia hiyo barua yote aifuatilie na alete majibu kama hii ishu ni utapeli, kwa hiyo ningewaomba tu mumsubirie, siwezi kuweka info zote hapa kwa sababu nisingependa ku-jeopardize msaada kwa washikaji zangu waliojitokeza tayari kufuatilia hii deal.

Otherwise, mimi ninaendelea kujaribu kuwasaidia baadhi ya ndugu na marafiki, nikiweza kumsaidia hata mmoja tu Mungu ashukuriwe! you guys can keep on going on and on na doing nothing, hivi humu ndani nani mtoto mdogo anahitaji kufundishwa athari za utapeli?

Respect and Out, ila jaribuni kutafuta amani katika maisha japo kidogo tu ndugu zangu, maana haya maelezo mengi huko juu ni very troubling kwa watu wenye exposure ya majuu! na hasa maisha kwa ujumla.

FMEs!



Tafadhali ndugu usiwaingize wenzio mkenge.
 
shukrani sana kwa taarifa hiyo mzee, ila mimi napenda kumuuliza huyo jamaa kama huyo dada alifahamiana naye kupitia e-mail au ni mtu ambaye alikuwa anafahamiana naye ana kwa ana, walishaonana.
maana kwenye e-mail hivi sasa kuna matapeli wengi sana, just imagine kama ataweza kupata watu 100 x $300 ana sh ngapi hivyo isije kuwa ni kamradi fulani, hasa hapa hata watu ambao hawana professional hiyo ni kuonesha utata.
mimi mwaka 2007 nilipata e-mail toka kwa rafiki yangu wa kike alisema anatoka australia na kuna UN seminar itakayofanyika America na baadae Europe, kilichotakiwa kwa mtu kuja kushiriki alipe $150 na mnatakiwa kuwa katika group na mtume e-mail kwa secretary wa hiyo NGO ila e-mail yao utaona ni personal, sio ya hiyo NGO, maana kama ni official lazima itakuwa xyz@ngo.org au siyo lakini e-mail zao ni xyz@yahoo.com. ni watu wana fikiria sana ni namna gani wanaweza kupata pesa na hasa kwa nchi masikini wakiambiwa kuna chance ya kwenda majuu na wanakupa gharama za chini ili watu wavutike. hivyo sitaki kuwatia wasiwasi ila naomba huyo jamaa awahakikishiem watu jinsi walivyofahamiana sio kwa e-mail.
mimi ni mchango wangu.
Asanteni
 
Tunashukuru kwa taarifa ila je deal hii ndio yale yale ukifika Ulaya unawapa pasipoti yako hadi hapo utakapokubali kufanya 'kazi' zao. Kuondoka huwezi nk.
 
Hapa hakuna kipya ......DECI version 2!

FMES anasema $300 si pesa nyingi na kwamba kama mtu anatapeliwa anaweza kuzilipa kutoka mfukoni mwake.....? this is not true! Hii ni pesa nyingi sana kwa sababu hawa jamaa wana unlimited vacancies such that hata watu 1,000,000 wakiapply na wakawa wanaqualify manake watakuwa wamelipa a total fee ya US$300,000,000 ......FMES kweli unasema hii itakuwa pesa ndogo? na kwamba unaweza kulipa kutoka mfukoni mwako?

Pili, unasema utafutwe kama mtu anapoteza pesa yake......sisi tunakujua exactly who you are hapa? tunajua correct address yako mkuu......labda ungejitambulisha kuwa wewe ni saya Mkapa, or EL or SM etc na uthibitishe hilo then tunaweza amini na kuwa na confidence na wewe!

Kama umeleta hii kitu hapa ukiwa huelewi exactly details zake na impact yake i.e umeleta kwa nia njema naomba nikupongeza kwa kuwa na moyo wa kizalendo na kupenda na wengine wenye shida wajikwamue na shida hizo but kama umeleta hii kitu hapa ukijua kabisa hii ni DECI in the making.....naomba binafsi nikwambie .....SIDANGANYIKI....!
 
kwa ushauri wa haraka na busara mtu usijiingize humu, huko nje kwenyewe wanapanga foleni ktafuta ajira, USA more than 7% unemployment rate since january, na europe pia, leo iweje kuja kuchukua watu africa?kama kweli pasiwe na processing fee!!ogopasana hili. nauliza km wanataka hiyo 300$
1. inakuwaje wakupatie visa?bei ya visa wote twajua
2. Watakulipia usafiri wa ndege??mh? how many us$?
3. upatiwe pa kufikia?how many us $?
4. ukarimu huo umeanza lini bila kupitia vyombo vya nchi? ubalozini, serikalini etc?
5. Tafakari, yeyote asitoe hela, huyu km kaishi Benin, Gambia, Nigeria huko ndo wenye tabia hizi, watz?tena kwa great thinkers? umekwama mwanangu.

sasa wewe kwani ndugu zao,marafiki,kijijini kwenu watu wote wameisha hadi uingie JF? alaah, tuache man, usitutie umaskini buree!sema kazi zenyewe na salary, mi ntataka advance kabla sijatoka tz na kulipa hiyo mia tatu, na strting yangu ni 10,000$ pm
 
- Mkulu Masa ukishaibiwa hiyo hela yako nitafute mimi FMES, nitakurudishia mkono uliokupa wewe ndio huo huo uliowanyima ninaojaribu kuwasaidia, huna facst zaidi ya filimbi, vipi kule kwa George Mwakalinga yamekushinda?

- Unaukumbuka wimbo wa Remmy kwamba "....usicheke cheke kwa sababu leo umeshiba kumbuka kesho matumbo yatawasha......",

Waache wenye shida wajaribu kuliko kuingilia njia ya msaada wa Mungu kwa watu wake, utaumia mkuu vipi kwenu hakuna mifano ya waliomkufuru Mungu kwa kucheka msaada wa Mungu kwa masikini kama unavyofanya hapo juu?

Respect.

FMEs!


Narudia tena hii ni DECI panda mbegu! Hao washikaji zako waambie JF ni great thinkers waniwashtukia, hii peleka jimboni mwa Mtanzania kule Kyela wapiga debe wake waishikie bango! Mzee na heshima zako unapost upupu wa hivi jamani ama umeibiwa pswd? Hujui wewe shida ya employment ilivyo duniani ???

Kama na wewe uko kwenye kundi la hao jamaa mkitafuta pesa za kampeni kwa Mwakalinga jua mumefulia big time

Think before you post hapa JF! Unaona limekurudia kamanda FMES? Pole sana

MoDs naomba hii thread ifungwe kabla madhara hayajatokea kwa watanzania wenzangu, ama aliyeleta haya mambo afungiwe walau kwa week ajifunze kuleta vitu vya maana hapa JF ni ombi tu wakuu..vinginevyo hii thread ihamishiwe mahali pake kule kwenye jokes

Mzee Masa
 
Wakuu,
Ama kweli ninaweza kusema wengi waliochangia hapa kupinga hii issue sio high risk takers. Thats why mko kwenye kazi au shuughuli mlizonazo.

Mkuu FMES, the high risk takers utawajua tuu. Wataaply and they will be ready for any consequense. Na hao risk takers huwa wanafanya calculations. Mimi nami ni risk taker. I dont need a lot of infos for me to take up a risk. Nafanya assessment ya haraka haraka then i take up an opportunity.

Kwa mfano, kuna kipindi nilipoteza $2,000 kwa kuwa nilirisk then ikala kwangu. Lakini kuna kipindi nilirisk nikagain $7,500. So all in all inategemea mwenyewe uko katika level gani ya kurisk. so if you cant risk then mwache mwenye ku-risk apambane.

Hata DECI, mimi nina rafiki yangu ambaye alifaidika sana na DECI mpaka kesho huwezi kumconvince DECI ni kitu kibaya maana amenunua coster (bus) because of that. Lakini kuna mwingine amefilisika kutokana na DECI. So it is all about risking.

Ukitambua kuwa ila mtu awe tajiri in one way or another someone else anakuwa maskini, then utarealise this world is all about risking.

Mkuu FMSE wewe wape wanaotaka wakiingia sawa, wasipotaka sawa lakini mimi naona nia yako ni njema. Kwani mbona kuna watu wengi tuu wanatumiwa emails za kitapeli then wasijiingize tuuu. It is up to them to assess the level of risk. Hata baishara mtu huwa anafanya moja badala ya nyingine depending of the level of risk and return assessment. Na assessment yenyewe si lazima iwe positive.

Pengine hata nchi yetu iko ilivyo because watu wake wengi hawakuandaliwa kuwa risk takers. Even ufisadi unainvolve about risk taking.

Risk = UTHUBUTU
 
Last edited:
Hii ni barua toka kwa huyu mshikaji wangu, nimeipunguza punguza info muhimu, nafikiri utaelewa sababu otherwise yote yapo hapa chini:-




Nadhani ni utapeli.wazungu wanaangaika kurudisha waafrica wanaozamia huko kwao wewe unasema watu waende kuna kazi? Halafu kazi gani isiyo na qualification. vitu hivi vitawapotosha vijana wetu na kuwatia matatizoni.Hamkusoma matatitizo yaliyowapata vijana wa kizanzibar waliyotelekezwa mpakani mwa misri na palestina?wasichana wa kinigeria wapatao 50 walio hifadhiwa morocco kwa ajili ya kustarehesha wanaume.Dunia ya sasa hakuna nchi inayoimport watu wasiyo experts. halafu toka lini application for job ikawa na fee? ingekuwa ni kujiunga na kozi sawa.
 
Mkuu FMES naheshimu sana michango yako ila kwa hili naomba niseme tu kuwa linatia shaka kidogo haya mambo bana mwishoni mwa miaka ya tisini nusura na mimi nilie kama tu isingekua kukosa Euro 250!! kwa hiyo naelewa kabisa wasiwasi wa member wengi humu ndani la muhimu ni kuwashauri watu wakaze buti huku huku home wasome kwa bidii,watafute mitaji ya kutosha na kuwekeza kwa nguvu ili tusimchangie mzungu kodi.Haya mambo ya kupelekana Ulaya halafu kumbe kazi zenyewe bora ungebakia bongo au hazipo kabisa ni za kuangalia kkwa nguvu
 
Ni utapeli huu. kazi ulaya tena qualification si lazima na zaidi application fees tena in terms of dollas.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom