William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano kwenda nchi moja majuu kufanya kazi, ni kwa professional mbali mbali na hata kwa wasio na professional wanakubalika,
- Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.
Tuwasiliane kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com. Mods na Utawala naomba muipe nafasi kidogo hapa ingawa sio pake, ili iwafikie ndugu zangu walalahoi, unajua sisi mabaharia huwa ni watu wa kusaidiana sana kwa sababu tusingefikia hapa tulipo bila kusaidiwa na wengine, na huwa hatusahau tulikotoa au kusahau wengine wenye shida.
Ahsanteni Wakuu.
Field Marshall Es, wazee wa sauti ya umeme!