Tangazo linapoleta shida,....!!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Yaani Hata sielewi nifanyeje katika hili?
Nimemtuma binti yangu dukani,nikampa Elfu kumi!Amerudishiwa change ameikataa eti;HADANGANYIKIII,...!!
 
Duh kweli kuna kazi hapo. Sijui ana umri gani maana km ni mkubwa angekuja kuna pesa atarudishiwa na kama ni mdogo saana basi neno hadanganyiki amewahi mno kulitumia. Inabidi kama kuna change uwe unamwambia atarudishiwa change
 
Back
Top Bottom