Tangazo la zain la kibonde linanoboa

Dear

Member
Nov 18, 2009
46
3
Jamani sijui niseme nini kuhusu hili tangazo la Zain la kusisitiza ni sh. Moja Tu na Kibonde wa Clouds FM linavyoboa kama nini, likifika tu uwa nabadilisha channel.

Mimi nafikiri hawa Zain wamechemka kumtumia Kibonde na wakati kuna ma-model wenye mvuto wasio na vitambi na wanaojua kazi yao, sasa hivi vitu vya kupeana peana mwisho wa siku mnaharibu kazi.

Sijui wenzangu mnaonaje?
 
Mimi silichukii nalipenda kwa vile linachekesha. jamaa ana shoulders na kitambi akigeuka unaona sholders
 
Yaani wewe Dear usilete utashi wako ukadhani na wengine wanao kama wa kwako. Unaposema wapo Ma-model ni kwako wewe mtazamo wako. Kitu chochote usichokipenda achana nacho kama unavyoamua kubadilisha channel. Waliompa tangazo wao wanafurahia. Tafuta biashara ya kwako mpe unayemtaka (MODEL!!!!! akutangazieshughuli zako usiingize vitu vya kwako kwenye BIASHARA za WENZAKO. Ndio maana huwa hatuendelei mtu unaacha kuhangaikia mambo yako unatafakari habari za watu wengine.
 
Kuna kaukweli fulani.Matangazo yanapaswa yawe na mvuto fulani.kwa upande wangu nawapa bigup ma-Advertising manager wa TIGO,ni wabunifu sana kwenye matangazo yao wakifuatiwa na ZANTEL.Zain na voda???? mhhhh,mdebwedo.
 
Jamani sijui niseme nini kuhusu hili tangazo la Zain la kusisitiza ni sh. Moja Tu na Kibonde wa Clouds FM linavyoboa kama nini, likifika tu uwa nabadilisha channel.

Mimi nafikiri hawa Zain wamechemka kumtumia Kibonde na wakati kuna ma-model wenye mvuto wasio na vitambi na wanaojua kazi yao, sasa hivi vitu vya kupeana peana mwisho wa siku mnaharibu kazi.

Sijui wenzangu mnaonaje?

SAFI SAAAAANA!!!!:A S tongue:
 
Hahaha! Mbavu zangu mie! aah tayari wamekwisha anza...! Ni shilingi moja tu kwa dakika.

Unajua angevaa shati la kawaida kama lile tangazo analorusha jiwe la kujishindia gari ingekuwa poa lakini ile tisheti ya pink na hicho kitambi Loh! maana ni mabega na kitambi nafikiri anatakiwa afanye jitihada za kupunguza hicho kitambi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom