Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la wajanja wa voda!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wise-comedian, Jun 26, 2012.

 1. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 799
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 180
  kuna tetes nlzopata toka kwa mdau mmoja wa voda kwamba wale kina dada kwenye tangazo la wajanja wa voda ni wasanii toka Uganda..................sasa jaman ina maana kina dada wetu wa kibongo wasingefaa pale au ndo jinsi wabongo tunavyodharau vyetu kihvyo!
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,500
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Huu sasa udaku na udakuzi wadada wa uganda hawana gharama sana mkubwa wa hapa maringo kinoma sio mbaya sana 2 my side.
   
 3. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wale wa buguruni mkuu. Mmoja wao nilikutana naye Sewa juzi.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,533
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  lilikuwa lina husu watu waliopotea na waliopo..
   
 5. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwaiyo wamechukua machangu wa uganda.
   
Loading...