Tangazo la Rainfred Masako

ZEE BABA

Senior Member
Jan 19, 2011
169
59
wakuu wa JF naomba mnisaidie maana hizi shule tulizosoma kiingereza kilifundishwa kwa KINYAKYUSA,Lile tangazo la Masako kuhusu shule ya Fountain gate kama sijakosea lakini anamalizia kwa kutoa tafsiri ya A BRIDGE TO SUCCESS kuwa na kisima cha mafanikio,pia lipo jingine anasema ENGLISH MEDIUM anaitamka Medium kama inavyoaandikwa...hivi hii ni sawa wakuu?

KINYAKYUSA SKULI ni shule

SPUNI ni kijiko

Pengine masako nae alisoma kama mimi ,kiingereza kwa kinyakyusa
 
--- A BRIDGE TO SUCCESS ina maana ya daraja kwa mafanikio, sio kisima cha mafanikio.
--- MEDIUM ni neno lenye asili ya kilatini, huweza kutamkwa kwa kiingereza MEDIAM, lakini hata likitamkwa MEDIUM kama lilivyoandikwa ni sahihi pia.
Ni kama neno Have: wengine hutamka hav, na wengine hev. lakini yote ni sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom