TANGAZO LA PILI: Nipe kazi ya website upate 10% yako

Benzoic

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
421
149
:A S 465:Ile ofa ya kukupa wewe 10% ya malipo yatakayotokana na kuleta kazi ya website (YAKO au ya MTU mwingine) bado inaendelea. Ahsante kwa wanao respond na ambao wameleta proposal zao. Tuwasiliane kwa jo.sam.wel@gmail.com
 
Price ni sawa kwa different technologies used au unachaji vipi? kwa mfano nikitaka website based on flash na nyingine based on html na nyingine based on php zote unacharge bei moja?
 
bei haiwez kuwa 1...bei inatofautiana kulingana na tech used na type of website (static au dynamic) na sometimes ukubwa wa site/system yenyewe kutokana na requirements ulizotoa
 
Back
Top Bottom