Tangazo la msiba wa bw George Kilave

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
2
Familia ya Bwana Gabriel kilave wanapenda kutangaza kifo cha
kaka yao BW GEORGE KILAVE kilichoteka huko INDIA
Habari ziwafikie ndugu jamaa wote wanaomjua bw kilave
washarika wa KANISA LA ASKOFU KAKOBE,ASKOFU KAKOBE
NA WENGINE WOTE!!!BWANA AMETOA BWANA AMETWAA
 
Poleni sana wana familia ya Bw. George Kilave! Nimesitushwa sana na taarifa ya kifa cha Kaka George Kilave, Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
 
Back
Top Bottom