tangazo la mgomo...

ewaaaaa.....mianaume ya hivi huwa naishangaa sana.....sioni tatizo mimi kuclear bill na nini.....lakini basi mtu aonyeshe uanaume wake.....hivi huwa watu hawaoni aibu....
eti nyie wanaume.....kulipiwa kila siku bill na msichana wako huoni noma.....nawauliza......!!!!!!!
...mimi huwasitaki hata kuona hela ta binti...
 
Kipipi shosti mambo? watagoma wataweza? wakati kila kukicha swala swala wao winga hewani, hata usingizi hawapati! cheko langu, hebu gomeni viwanda vya sabuni vipate soko! lol!

nyie ndo mtapata shida sana, sa hizi tu ndizi na matango sokoni hayatoshi sa tukigoma si ndo vitaisha kabisa...
 
Last edited by a moderator:
ewaaaaa.....mianaume ya hivi huwa naishangaa sana.....sioni tatizo mimi kuclear bill na nini.....lakini basi mtu aonyeshe uanaume wake.....hivi huwa watu hawaoni aibu....
eti nyie wanaume.....kulipiwa kila siku bill na msichana wako huoni noma.....nawauliza......!!!!!!!
Preta, bora basi umhudumie usubirie excellent results, lol, unalihudumia kumbe ni www.bamialisis.co.tz, wallah akichanganya na miwhisky kushnei! chali! yaani, halafu eti wanataka magari! labda magari ya mfinyanzi, nitakwenda makongo juu nimtengenezee mmoja wenu moja! lol!, liwe tayaritayari maana birthday zipo kila siku! lol
 
kwenye swala la ku clear bill ndo mnaona nafasi ya mwanaume but kuosha vyombo, kufuna na kazi zingine haki sawa kwa wote.. kweli hiki kizazi cha masista du, ata iweje mgomo hauepukiki ndo dawa yenu hiyo

kulipa hatukatai.....lakini mbona bill ikija mnajifanya kuongea na simu au mko busy......haoooooooo.....tunawachorajeeeeee
 
Preta, bora basi umhudumie usubirie excellent results, lol, unalihudumia kumbe ni www.bamialisis.co.tz, wallah akichanganya na miwhisky kushnei! chali! yaani, halafu eti wanataka magari! labda magari ya mfinyanzi, nitakwenda makongo juu nimtengenezee mmoja wenu moja! lol!, liwe tayaritayari maana birthday zipo kila siku! lol

ha ha ha......hebu turudi nyuma kidogo......Kim na Kanye wana muda gani kwenye uhusiano......mwenye kujua anipe msaada hapa.....
 
nyie ndo mtapata shida sana, sa hizi tu ndizi na matango sokoni hayatoshi sa tukigoma si ndo vitaisha kabisa...
Junior. Cux, my dear kwani dildo zina kazi gani?? wala hazitaki magari, hazigomi, na hazina mpango wa kuandamana! lol! mkichoka sabuni za miche, hamieni kwenye magunia ya PUFF! for better results!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha......hebu turudi nyuma kidogo......Kim na Kanye wana muda gani kwenye uhusiano......mwenye kujua anipe msaada hapa.....
Preta nasikia wana two months sasa! ila walikuwa wana uhusiano wa kawaida acc to them before even kim hajaolewaga na kris humphries!
 
Last edited by a moderator:
kwenye swala la ku clear bill ndo mnaona nafasi ya mwanaume but kuosha vyombo, kufuna na kazi zingine haki sawa kwa wote.. kweli hiki kizazi cha masista du, ata iweje mgomo hauepukiki ndo dawa yenu hiyo
Junior. Cux kwani kuosha vyombo unaosha kila siku? mbona bill kila siku mi ndio nilipe, ukiona nimeitisha bill tu, unajifanya kwenda kuangalia gari nje kama liko sawa uliweke sawa kabisa, eti nikija tu tunaondoka! nasema hata roller skats hamstahili kununuliwa, nyie waafrica tu, mkaege hivyo hivyo tu!
 
hi hi hi.....hapo blue nareserve my comments......
ila kuwaambia ukweli bana....kitu kingine kinachosababishaga mpigwe vibuti ni mambo kama haya.....
 
Preta nasikia wana two months sasa! ila walikuwa wana uhusiano wa kawaida acc to them before even kim hajaolewaga na kris humphries!

orait orait......sasa unakuta mwanaume ni first date halafu anaenda kuangalia matairi ya gari kama yana pancha......kudadadeki....unatupa kuleeeeeee.......hi hi....wapi Smile leo......

Last edited by a moderator:
hi hi hi.....hapo blue nareserve my comments......
ila kuwaambia ukweli bana....kitu kingine kinachosababishaga mpigwe vibuti ni mambo kama haya.....
Preta they are tooooooo selfish, hawawezi kuacha asili, achana nao! mi nimewazoea mbaya, huwa nawaangalia tu!
 
Last edited by a moderator:
orait orait......sasa unakuta mwanaume ni first date halafu anaenda kuangalia matairi ya gari kama yana pancha......kudadadeki....unatupa kuleeeeeee.......hi hi....wapi Smile leo......

Ndo tatizo la kudate masharobaro.
 
Last edited by a moderator:
orait orait......sasa unakuta mwanaume ni first date halafu anaenda kuangalia matairi ya gari kama yana pancha......kudadadeki....unatupa kuleeeeeee.......hi hi....wapi Smile leo......

Preta kwanza ni first date, halafu ukute anakaa mkoa ume make effort ya kwenda, umejilipia nauli and everything, mnatoka out anakwambia hana hela, unalipa, anarudi kwake na we unakwenda ulipofikia bado tax uliyokodi itamshusha lisivyo na haya, haliwezi hata kusema litalipa hapana! linangoja ulipe! hivi si bora tu kutumia dildo jamaniiiiiiiiiiii! jamani ambao ndio mnadate poleni lakini mtavuka tu, ni upepo tu huu! na tulikoko kwenye ndoa, basi tuwaheshimu sana waume zetu, na kuwapa big-up mbaya kwa wanavyotutoa!kwa kweli preta tupa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama ni dizaini za luba!
 
you nailed it.....(FULL STOP)......
he he he he he he he he he he heeeeeeeeeeeeee.......leo nitacheka sana kwenye huu uzi.....thx stevoh.....

Last edited by a moderator:
you nailed it.....(FULL STOP)......
he he he he he he he he he he heeeeeeeeeeeeee.......leo nitacheka sana kwenye huu uzi.....thx stevoh.....

Preta yaani niliolewa at the age of 20, mdogo wangu 17, my elder sis 21, so hatukupata muda wa kudanganywa kwa kweli, yaani mtu wangu wa kwanza, wa pili akaja kuwa mume mpaka kesho! sasa mziki upo kwa cousins, watoto wa wamama wakubwa na wadogo, mpaka huwa nawahurumia wanavyodanganywa! mmoja anakaa a-town. kaja huku kumeet na huyo mtu wake, ndio hivyo nauli kajilipia, tax kalipa, vinywaji! eeehhh kulivyokucha ananihadithia hiyo story nikamwambia twende kinondoni duka la dildo, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii dildo hazilipi bill wala hazifilisi, hazina wivu, zipo kimyaaaaaaaaaaa zinaomba tu TANESCO wasikate umeme, zipo kazini 24/7. kazi ipo wallah!
 
Last edited by a moderator:
Kipipi shosti mambo? watagoma wataweza? wakati kila kukicha swala swala wao winga hewani, hata usingizi hawapati! cheko langu, hebu gomeni viwanda vya sabuni vipate soko! lol!

Tunataka kupandisha uchumi wa nch yetu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom