tangazo la mgomo...

TANZANIAN ASSOCIATION OF BOYFRIENDS
(NABS)

NOTIFICATION OF WARNING STRIKE!!

Dear Tanzanian girls, hope you saw what
Kim K. bought
for Kanye W. on his birthday?
Not a Singlet or Boxers.
She bought A LAMBOGHINI CAR worth $
750k. We are tired of taking boxers and
singlet as gifts.
Sometimes, we even receive socks.
We will hence commence a 3-day
warning strike
taking effect from tomorrow. ENOUGH IS ENOUGH!!
Sign.

well said, naunga mkono hoja.!! naomba uwe ni mgomo usio na kikomo
 
Unaanza lini huo mgomo? Tunausubiri!
Kipipi shosti mambo? watagoma wataweza? wakati kila kukicha swala swala wao winga hewani, hata usingizi hawapati! cheko langu, hebu gomeni viwanda vya sabuni vipate soko! lol!
 
Last edited by a moderator:
kwendeni zenu huko.......mtasubiri sana........
Preta watangojaje sasa? wao wenyewe pesa zao za mawazooooooo! dume zima linasubiri kuhudumiwa kila kitu na demu, ukitoka naye hata maji ya kunywa hanunui! mtasubiria sana hayo magari!
 
Last edited by a moderator:
Kipipi shosti mambo? watagoma wataweza? wakati kila kukicha swala swala wao winga hewani, hata usingizi hawapati! cheko langu, hebu gomeni viwanda vya sabuni vipate soko! lol!

Mtoto una hatari wewe!
Hivi kwa mujibu wa law act of 1978 cap No 309/65FR/01 unaweza kushtakiwa kwa kosa la uchochezi. Unachochea pu*yeto sio? Na sabuni zikipotea madukani nyie mtafulia nini?
 
Judgement wakili chipeta yupo tayari kunisaidia atanitoaje sasa haraka! tena mtapataje ukilema wa mikono?? itapinda mbele ka banio la ugali, chezeiya geisha weye?! gomeni muione ng'ondo!
 
Last edited by a moderator:
Kipipi shosti mambo? watagoma wataweza? wakati kila kukicha swala swala wao winga hewani, hata usingizi hawapati! cheko langu, hebu gomeni viwanda vya sabuni vipate soko! lol!

Wasiwasi wangu ni fruits salads zitakuwa adimu kwani matango yatakuwa na double use.
 
Last edited by a moderator:
Preta watangojaje sasa? wao wenyewe pesa zao za mawazooooooo! dume zima linasubiri kuhudumiwa kila kitu na demu, ukitoka naye hata maji ya kunywa hanunui! mtasubiria sana hayo magari!

ewaaaaa.....mianaume ya hivi huwa naishangaa sana.....sioni tatizo mimi kuclear bill na nini.....lakini basi mtu aonyeshe uanaume wake.....hivi huwa watu hawaoni aibu....
eti nyie wanaume.....kulipiwa kila siku bill na msichana wako huoni noma.....nawauliza......!!!!!!!
 
kwenye swala la ku clear bill ndo mnaona nafasi ya mwanaume but kuosha vyombo, kufuna na kazi zingine haki sawa kwa wote.. kweli hiki kizazi cha masista du, ata iweje mgomo hauepukiki ndo dawa yenu hiyo
 
Back
Top Bottom