Tangazo la Mganga toka Moshi

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Jana katika pita pita zangu huko Kigogo kwa Bint Kahenga nimekutana na Tangazo la mganga kutoka Moshi, nimeshangaa sana mie nishazoea matangoza ya mganga toka Sumbawanga, Tanga, Bagamoyo, Usukumani na Nigeria!! kumbe ata Moshi wapo!!
 
Back
Top Bottom