Tangazo la kuitwa kwenye usaili

Manstone

JF-Expert Member
May 12, 2013
511
310
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Serikali, na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MDA’s na LGA’s), Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) na Wakala wa Ufundi na Umeme (T EMESA) anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

Tangazo lenye Orodha ya majina kwa wanaoitwa kwenye usaili fungua www.ajira.go.tz
 
Hawa utumishi siwaelewi wakati mwingne kuna tuliofanya oral tarehe 17 March mpaka sasa ni mwez na cku kadhaa hakuna majibu yeyote yaaan wapo kimya mtu mpaka unataka tamaa
 
Hawa mpk uwapigie cm mkubwa wakati mwingine huwa wanawapigia cm tuu mambo yanakwisha ivyoivyo
 
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Serikali, na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MDA’s na LGA’s), Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) na Wakala wa Ufundi na Umeme (T EMESA) anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

Tangazo lenye Orodha ya majina kwa wanaoitwa kwenye usaili fungua www.ajira.go.tz
Asante mkuu kwa taarifa information is power.
 
Back
Top Bottom