Tangazo la kuitwa kwenye usaili NHIF kwa wale walioomba nafasi za muda (temporary employment)

Greatbeka

New Member
May 24, 2011
2
1
Nawasalimu wadau wote humu ndani!

Napenda kuwajuza kuwa NHIF wametoa tangazo la kuita watu kwenye usaili....nawasilisha wadau.
 

Attachments

  • usaili-tempo.pdf
    44.5 KB · Views: 680
Am sorry kwa wale wanaotumia simu nimeshindwa kuliweka wazi but najua atajitokeza mtu ataliweka vizuri ili wote tulione tena hawajatoa majina wamecategorize kwa walio na shahada ya kwanza,diploma,kidato cha sita na nne kila category ina siku yake ya usaili.
 
So hakuna short list ? ni kwamba woote walioomba watafanyiwa usaili!!!
Inanipa mashaka hii.
 
Mi niliapply lakini kwa dizain hii siendi, yaliyonikuta udom nimetosheka....hopeless HRs, wazushi sana, nendeni mkapigwe pepa
 
Hao HOUR wao wamefulia. Wanataka kusaili watu zaidi ya elfu moja kwa ajili ya nafasi 40? Au ndo wana justify posho hapo?
 
NHIF nao kwenye mkumbo wa taasisi zakipuuzi

wanawalipa shilingi ngapi? na ni tempo ya muda gani?
 
Wadau misijaelewa hivi diploma ya juu inaitweje kwa kingereza na diploma ya kawaida inaitwaje pia?
 
Wadau misijaelewa hivi diploma ya juu inaitweje kwa kingereza na diploma ya kawaida inaitwaje pia?

Diploma ya juu= Advanced Diploma
Diploma ya kawaida (diploma) = Ordinary Diploma.
 
aaaah kudadadeki lazima nitinge tena kuna pepa yaani ajajajajajajaaaa! Ckosii nimemis paper ile mbaya. Zaidi nimemis kudesa...ntadesa hyo tarehe 7 mpaka kieleweke.....hahahaaaa bongo kaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom