D Derimto JF-Expert Member Nov 4, 2010 1,307 306 Feb 4, 2011 #21 Pole sana mkuu kazi ya Mungu haina makosa ni njia yetu sote tatizo ni kwamba tunatanguliana na kuacha wengine wakiwa bado wanakuhitaji. R.I.P
Pole sana mkuu kazi ya Mungu haina makosa ni njia yetu sote tatizo ni kwamba tunatanguliana na kuacha wengine wakiwa bado wanakuhitaji. R.I.P
A Aine JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,603 488 Feb 4, 2011 #24 Poleni sana, Mungu awape faraja wote zaidi mume wa marehemu
Michelle JF-Expert Member Nov 16, 2010 7,621 3,514 Feb 4, 2011 #26 Pole sana Dr na wape pole zetu familia ya marehemu.Rest in Peace Prisca.