Tangazo la kifo

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu nasikitika kutangaza kifo cha mke wa staff wangu kilichotokea temeke hospital jana ucku marehemu alikuwa anaitwa priska kwa kweli kimeniuma kwani wametoka kufunga ndoa mwaka jana hawana ata miezi 7 ktk ndoa msiba upo kongowe ya mbagala

bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe mkinikosa hewani mjue nipo bze na msiba wakuu.
 
Polenis sana broda....
Msisikitike sana maana ni kazi ya Mungu!
Roho ya marehemu ilale pema peponi!
 
wakuu nasikitika kutangaza kifo cha mke wa staff wangu kilichotokea temeke hospital jana ucku marehemu alikuwa anaitwa priska kwa kweli kimeniuma kwani wametoka kufunga ndoa mwaka jana hawana ata miezi 7 ktk ndoa msiba upo kongowe ya mbagala

bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe mkinikosa hewani mjue nipo bze na msiba wakuu.
Mpe pole sana boss wako mungu alitoa ametwaa!
 
Pole sana mkuu, na mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi - AMENI
 
Poleni sana na msiba, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN.... na pia awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom