Tangazo la kazi.

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Hivi kubetisha maana yake nini?
SAM_1388.JPG
 
Hivi kubetisha maana yake nini?

Mkuu, what is kubetisha?
.
Wakuu, SIMBA WA TARANGA
kingfish

Hapa kinachoongelewa ni Gambling games hasa hasa hizi kama Sports Betting au aina nyingine za Kamari kama Slot machine, Bingo

Sasa ukiisema kiswahili yule anaeitwa Betting Girl yaani kama Casino Dealer .. ukiitohoa utasema Msichana wa Kubetisha!

Betting Girl = Msichana wa Kubetisha!

Angalia huyu hapa chini

castle-casino-dealer-2.jpg

castle-casino-dealer-3.jpg

Fursa za ajira zinafunguka,,,hizo zote wizara ya kazi inaziweka kwenye data ya ajira mil 1
 
Ninavyojua KUBETISHA kwa sisi waswahili ni kale kamchezo kakukopana na kulipa, wiki hii unapewa hela wewe wiki ijayo mwingine mnakua kama mko watu kama 10 na kuendelea, sema haka kamchezo kanalawama sana waulizeni kina mama!
 
.
Wakuu, SIMBA WA TARANGA
kingfish

Hapa kinachoongelewa ni Gambling games hasa hasa hizi kama Sports Betting au aina nyingine za Kamari kama Slot machine, Bingo

Sasa ukiisema kiswahili yule anaeitwa Betting Girl yaani kama Casino Dealer .. ukiitohoa utasema Msichana wa Kubetisha!

Betting Girl = Msichana wa Kubetisha!

Angalia huyu hapa chini

castle-casino-dealer-2.jpg

castle-casino-dealer-3.jpg

Nimekusoma kamanda, haya wadada wa jf, ajira hiyo. Ahadi za mkulu wa magogoni zinatimia.
 
Matokeo ya kamari ni umasikini, kukata tamaa, uvivu, ndoto za mchana, suicides
 
duh so huyo msichana... atakua kama hao nilio waona hapo..? manake hata las vegas casino mazingira sio hayo mzeiya
 
Back
Top Bottom