Tangazo la dharura. Waumini wote wa Kikristo Dar wakeshe makanisani mwao leo na kesho...

unataka wajikusanye makanisani halafu wachomewe humo humo, makanisa ni majengo wakiyachoma tutajenga mengine
 
Taarifa za kiintelijensia zinaonyesha baada ya kutawanywa na polisi, vikundi vya watu wanaofanya vurugu wamedhamiria kuchoma makanisa na kudhuru leo usiku. Kwa mantiki hiyo naomba kuwashauri waumini wote wa kikristo wa dar leo na kesho wajitolee kulinda makanisa yao usiku kucha. Ingawa walioandamana ni wengi, lakini imethibitka kuwa watakaohusika kuchoma makanisa ni kundi dogo ambalo hawazidi 200.
Asanteni, nitarudi baadae...

Tahadhari: Wawe wamejihami...

Naona neno "kiintelijensia" limekuwa fasheni siku hizi.
Watu wakalinde makanisa, kwani polisi wako wapi?
 
Mi niko na Tuko. Nadhani hawa Al-Qaeda wannabes wanastahili kichapo kikali. Ndiyo lugha pekee wanayoielewa. Mi wakisogea mtaa wetu watapata bullets za kutosha.

Hivi kwanini isichunguzwe link kati ya viongozi wao wa fujo na bombings za US Embassy ya wakati ule? au kama wana-recruit watu kuwapeleka kujiunga na Al-Shabaab? ili kama vp Punda na wenzake wapelekwe Guantanamo.
 
Tusipuuze hizi taarifa!! Kuna ukweli ndani yake!! Ni nani amesoma post ya Mzee Mwanakijiji ya leo saa kumi hivi jioni hii? Masaa kuanzia leo hadi kesho tutasikia au kama si baada ya leo maana wanajipanga kufanya maovu. Waislam ni hatarishi siku zote!! Wanaheshimika tu kama binadamu but ubinadamu hawana!! Unawezaje kuthubutu kuchoma kanisa wakati huyo mkristu hajawahi hata kukanyaga msikitini kwako? Ni lini wakristo waliingia msikitini na kuharibu mali? It does not click in me!!
 
Kanisa la Mungu wetu si majengo bali imani. Hivyo hata wakiyachoma majengo yote Kanisa la Mungu litaendelea. Na kwa kufanya hivyo watakuwa wamelipalilia. Waacheni wafanye wanachotaka kwa maana hawajui watendalo wala madhara yake. Tuzidi kuwaombea. Tuiombee inchi yetu Amani. Tumwombe Mungu awazidishie hekima viongozi wa nchi hii watende kwa ujasiri wadumishe amani.
 
Sasa tujirinde kivipi huku kila mwaka watu serikali inapeleka watu depo ili waje wapokee mshahara wa bure.Wajibu wao kutulinda sisi na mali zetu.
 
Siamini kama mtu anayemjua mungu anaweza kufanya hivyo. The thing is for us christian now to kneel and pray for peace and love. Ndivyo mungu wetu anavyotaka na wala kinyongo kwetu kisitajwe. Tunayo amani kwa kuwa vita yetu si ya kimwili bali ya kiroho na ni juu ya yule mwovu na malaika zake.
 
Acha kuchonganisha watu
taarifa za kiitelijisia peleka polisi

wewe umezipataje kama sio muongo?

wajihami ili iweje?

polisi kazi yao ni nini?

kwani ni makani mangapi yamesha chomwa moto na wachungaji wangapi wameshauliwa bado unataka tuwategemee polisi, interejensia ya posili huwa inafanyakazi kwa chadema tu lakini kwa mauji ya barlow na said hakuna cha interejensia..
 
wakristo tusilipize zidi ya wahuni hawa lakini tujiandae nitakushangaa kama mpaka leo mkristo hujui majambia yanauzwa wapi, mtakuja kufa kama kuku wa kisasa..
 
wakilinda wao polisi watakua wanafanya nini?? au ndio wanaanza kujichukulia sharia mkononi kama hawa boko???
 
kutolinda makanisa ni woga.mi naenda linda letu Sinza polisi hawaaminiki mmesahau? Ombeni mtapewa, tafuteni .... Bisheni hodi..... Asiefanya kazi.... Come on wakristu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom