Tangazo La Dharura: Hali Mbaya Ya Mgonjwa, Mtanzania Mwenzetu.

Status
Not open for further replies.
Tafadahali weka hata adress yao hapa ili iwe rahisikutuma kwa westunion,moneyorder na njia nyingine.Tukiwa na adress ni rahisi, weka adress yao tafadhali.

Sawa sawa mkuu, Ahsanteni Wakuu.
 
- Mkuu Zakumi, jana usiku niliweza kumpata Mkuu Abel, na amejaribu sana kufungua hiyo account lakini ilikuwa inampa shida sana, kwa hiyo leo nitajaribu naye tena kuona ni vipi hasa maana mpaka usiku sana jana aliniambia kuwa wanamwambia asubiri siku 60 kuifungua.

- Sasa sielewi tatizo liko wapi ila nitajaribu kufuatilia baadye leo, ila kama una nay info on it naomba ni-PM. Ingawa pia naomba kuendelea kuwashukuru waliokwisha itikia wito kwa njia zingine.

Thanxs!
 
Mkuu Shukrani kwa juhudi zako. Mimi uwa natumia tu na sina ujuzi nayo. Lakini nadhani JF inayo kwa sababu tulichangia wakati hule wa matatizo.

Nitajaribu kutumia kwa njia zingine. Lakini ni muhimu kwa watanzani USA kutumia Paypal kwa sababu mchango mdogo mdogo kwa watu 1000 ni mkubwa zaidi kuliko mchango wa 100 kwa watu 50.

Z10
 
- Mkuu wangu Zakumi, inavyoonekana hi ya paypal ni mzigo mzito at this time kumbebesha ndugu yetu anayeuguza,

-Ninaomba tena kama inawezekana tutumie njia zingine tafadhali sana ndugu zangu, just for this case, [/B].

Thanxs!
 
- Mkuu wangu Zakumi, inavyoonekana hi ya paypal ni mzigo mzito at this time kumbebesha ndugu yetu anayeuguza,

-Ninaomba tena kama inawezekana tutumie njia zingine tafadhali sana ndugu zangu, just for this case, hapa nina namba nyingine anayoweza kupatikana kwa urahisi yaani yeye mwenyewe muuguzaji, nayo ni 1-347-238-9250.

Thanxs!

Kaka, kwanza nakushukuru kwa moyo mkubwa wa kujitolea kusaidia kwa namna moja au nyingine katika hili swala zima la kutuaarifu na kuwa karibu na mwenzetu aliye katika hali ya utata kiafya. Uwe wa thawabu tele.

Naona swala la Paypal limeongelewa tayari walau kwa kugusiwa na wenzangu. Kwa vile tuko katika dharura, na mtu wa karibu kama unavoeleza ameshindwa kufungua; mimi napenda kuulizia tu kama hamna mtu yeyote aliyekaribu mwenye Paypal iliyo active anayeweza kukubali account yake kutumika walau kwa wiki chache hizi tukiwa katika hili wimbi la kutaka kumsaidia mwenzetu. Yaani inatatisha kuona kuwa hamna Wabongo waliokaribu hao wanaoweza kukubali kufanya hili...

Anyway, though tuko kwenye gloomy atmosphere, naamini katika matatizo tunajifunza mengi. Wengi wetu itatubidi tuwe na hizi universal online accounts. Zina gharama zake, lakini kwa nyakati kama hizi gharama zinakuwa justifiable kusema ukweli.

Tungelitegemea by now balozi zetu huko ughaibuni kila moja sasa hivi zingelikuwa na account mbili-tatu kwa ajili ya dharura kama hizi. Yaani, pale panapotokea tatizo tu, ubalozi unataarifiwa, ukipata taarifa na kuthibitisha, basi una-allocate free paypal au account nyingineyo ile yoyote ya online kwa ajili ya huyo mwenzetu ili watu waliombali waweze kusaidia. Kisha muda ulioteuliwa/pangwa kusaidia kwa donations unapokwisha, account inakuwa frozen na kusubiria dharura nyingine.

Molla azidi kutupa hope na amsaidie mwenzetu. Amen.

SteveD.
 
1.
Naona swala la Paypal limeongelewa tayari walau kwa kugusiwa na wenzangu. Kwa vile tuko katika dharura, na mtu wa karibu kama unavoeleza ameshindwa kufungua; mimi napenda kuulizia tu kama hamna mtu yeyote aliyekaribu mwenye Paypal iliyo active anayeweza kukubali account yake kutumika walau kwa wiki chache hizi tukiwa katika hili wimbi la kutaka kumsaidia mwenzetu. Yaani inatatisha kuona kuwa hamna Wabongo waliokaribu hao wanaoweza kukubali kufanya hili...

- Mkuu Steve D, kwanza heshima mbele sana, kwa kweli kwenye hili la wabongo wengine na paypal ni ngumu kidogo, ingawa ninaamini kuwa kuna wa-Tanzania wengi wanaosoma hapa watakuwa wamepata hii message na huenda wakajitokeza, ila binafsi ninatoa nafasi kwa yeyote anayetaka kutoa msaada kwa sasa ninaweza kumtolea, halafu tutamalizana baadaye cha muhimu kwa sasa ni kumsadia tu ndugu yetu aweze kurudi nyumbani.

- Kama kuna yeyote mwenye tatizo please tuwasiliane kwenye PM, ili tu-move forward na msaaada, hoja zako Mkuu Steve ziko sawa kabisa na ninaamini tumezisikia kama zilivyo bila ya kupunguza wala kuongeza, ziko sawa sawa.

Anyways, leo jioni nitamtafuta tena ndugu Abel kujua hali halisi imefikia wapi, hasa kuhusu approval ya madakitari on kusafiri kwa mgonjwa ili aweze kufika nyumbani, angalau akiwa mzima, maana shirika la ndege linapodai barua ya daktari ili kukubeba kwenye ndege yao, basi ina maana moja tu, nayo ni hali sio nzuri sana.

Respect!
 
1.

- Kama kuna yeyote mwenye tatizo please tuwasiliane kwenye PM, ili tu-move forward na msaaada, hoja zako Mkuu Steve ziko sawa kabisa na ninaamini tumezisikia kama zilivyo bila ya kupunguza wala kuongeza, ziko sawa sawa.

Respect!

Ukisoma messages zako unijibu mapema wakati bado niko online; nimekutumia PM
 
- Mkuu wangu Zakumi, inavyoonekana hi ya paypal ni mzigo mzito at this time kumbebesha ndugu yetu anayeuguza,

-Ninaomba tena kama inawezekana tutumie njia zingine tafadhali sana ndugu zangu, just for this case, hapa nina namba nyingine anayoweza kupatikana kwa urahisi yaani yeye mwenyewe muuguzaji, nayo ni 1-347-238-9250.

Thanxs!

Tunavyozidi kuongezeka matatizo haya yataongezeka na kutokea mara kwa mara. Hivyo nitalifanyia kazi suala hili kwa shughuli za baadaye.

Kama alivyosema Steve D. Gharama kwa matumizi ya sasa tunaweza ku-justify.

Nachokuomba utuwekee Routing Number ya Benki pia. Na vilevile kutupa updates.
 
- Ndio kwanza nimemaliza kuongea na Abel, ni kwamba madakitari wanaonekana kusita kutoa hiyo barua, lakini kwa leo wameamua kumfanyia experiment moja mpaka Alhamis iwapo itakuwa positive basi watamruhusu kusafiri kwa hiyo la kusafiri akiwa mzima litafahamika by then kama lipo.

- Halafu tafadhalini tena wakuu, mwenye kutaka kumtumia kwa njia nyingine zozote jaribuni kuwasiliana naye huko aliko, na hii namba niliyoiweka leo, labda itasaidia mkiongea naye mwenyewe, binafsi the best thing ninaweza fanya ni kumtolea yule tu ambaye anahitaji nimtolee, na iwe in straight and very clear terms sio kuogopana kujuana, kama kuna mwenye tatizo na hilo please sala tu inatosha au jaribu njia nyingine ni wakati mgumu sana na kuna mengi sana ya kuhangaikia sasa hivi katika kumsaidia huyu ndugu yetu.

Again ninawashukuru wote kwa ushirikiano wenu na the concern pia, Mungu awabariki wakuu wote!
 
God Heals!! Yote yanawezekana katika yeye atutiaye nguvu. Pendo will recover in the name of Jesus.

We wish them all the best and prays is the answer, its their good time to give themselves to God for MIRACLE!

GET WELL SOON!
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom