Tangazo kwenye duka la Mchaga

Ha ha ha haa, Hiyo ndiyo maana yake ukija dukani kwangu na hela yako hurudi nayo lasima uiache ikiwesekana yote aisee, siyo mteja anakuja unamwambia hiki hamna kile hakipo kwaniii unausa HAMNAAA!!!?.
 
pale himo njia panda moshi, kuna duka linauza vote ulivitaja.
Ila umesahau kuku wa nyama na mbolea za ruzuku pia anauza.
 
Kwiiiiiiiii,kwaaaaaa,kweeeeeeee!wajamen mbavu zangu mie, yani kunamtu nilitaka nimuibukie nikamuonyeshe ukauzu nimdai hela yangu japo ni mtu mzima ila kwa jokes hii leo cku nzima ctaweza kuwa sirius labda mpaka kesho coz kila nikiikumbuka nacheka mpaka basi!
 
Pata sukari, mayai, baiskeli, kanga, pilau, walikuku, sambusa, tairi za trekta, madaftari, bia
aina zote, petroli, matunda, nazi, vitumbua, mitumba grade 1, supu ya utumbo, mabati,
vocha, mtego wa panya, dawa ya mbu ya kuchoma, pembejeo, computer, juice, mboga aina
zote, mahindi ya kuchoma, bajaj, cement, leso, vyumba vya wageni, tunanunua
chupa tupu za bia na soda, tunaziba pancha na vyuma chakavu. Karibuni!

duh, sumu ya panya, sambusa na baiskeli kwa pamoja? Njaa inaua. Ila mbona mnatuonea wachaga? Tupo juu nini? Hiyo ni biashara tu.
 
Teh teh teh! Sijawahi kuwaza hilo maishani. Kitu cha ajabu ni kuwa hawajui thamani ya duka lao wala hawajawahi kufanya stock taking.
 
he mbona condom hamna...inamaana wachaga hawapigi muchkwekwe au wauza mechi?
 
Wachaga ni wana machungu na maendeleo kuangizia ktk ngaji ya familia, anaye wakebei akebei lkn habari ndo hiyo.
 
Pata sukari, mayai, baiskeli, kanga, pilau, walikuku, sambusa, tairi za trekta, madaftari, bia
aina zote, petroli, matunda, nazi, vitumbua, mitumba grade 1, supu ya utumbo, mabati,
vocha, mtego wa panya, dawa ya mbu ya kuchoma, pembejeo, computer, juice, mboga aina
zote, mahindi ya kuchoma, bajaj, cement, leso, vyumba vya wageni, kondomu, tunanunua
chupa tupu za bia na soda, tunaziba pancha na vyuma chakavu. Karibuni!
\

du umenichekesha sana, sasa hapo ni duka? au bar? au hardware? au stationery? au duka la dawa/gereji/gest ?
 
Pata sukari, mayai, baiskeli, kanga, pilau, walikuku, sambusa, tairi za trekta, madaftari, bia
aina zote, petroli, matunda, nazi, vitumbua, mitumba grade 1, supu ya utumbo, mabati,
vocha, mtego wa panya, dawa ya mbu ya kuchoma, pembejeo, computer, juice, mboga aina
zote, mahindi ya kuchoma, bajaj, cement, leso, vyumba vya wageni, kondomu, tunanunua
chupa tupu za bia na soda, tunaziba pancha na vyuma chakavu. Karibuni!

Hahahahahahahaaaaaaaaaaa
Safi sana masawe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom